Editorial Rooms za Vyombo vya Habari Tanzania ni kichekesho

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,385
2,000
Leo nimekuwa nafuatilia taarifa mbalimbali za misiba mikuu iliyolikumba taifa kwa kupitia mitandao ya kijamii na mitandao ya magezeti mbalimbali.

Mara nyingi habari za kwenye mitandao ya kijamii unazichukulia kama fukuto tu, ila habari kamili uzipate kwenye mitandao ya vyombo vya habari kwani kule ndiko habari zinatolewa na wataalamu wa uhabarishaji wala siyo watu wa kutoa hisia au umbea.

Tatizo sasa ni hizi editorial rooms zetu nyingi kuwa za kibabaishaji tu na zinaruhusu taarifa zenye makosa kutolewa kama habari; hata kama ni makosa madogo, kitaalamu hayaruhusiwi kupita na kuchapishwa.

Nimesoma habari hii pale Mwananchi ikanisikitisha sana.

1613650214904.png
 

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
15,135
2,000
Kwenye fm radios ndiyo ujinga mtupu,ile sheria ije haraka maana kuna upumbavu sana huko.......kuna watangazaji wa ajabu ajabu sana
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,813
2,000
Kazi yoyote ikiwa na makosa angalia mshaara wa hao wafanyakazi.
Sass hapi anakuwa pale kufanya kazi au kuharibu kazi? Nafikiri anakuwa anajitengenezea tatizo kubwa zaidi linalowexa sababisha akapoteza kibarua na hicho kipato kidogo anachopata
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom