tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa

    Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

    Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
  3. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Umoja wa wanaume bahili Tanzania (UWABATA)

    Hii nimekutana nayo mahali.... Kumbe hawa jamaa sio wa mchezo mchezo mpaka wametengeneza sarafu yao...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Ugonjwa unaoua, uliogeuzwa fursa ya kisiasa Tanzania

    Mabibi na mabwana tumwogope mola aliyetuumba sisi na wote wanaoitwa binadamu. Misahafu ya kikristo inatambua: "Kumpenda jirani yako kama nafsi yako." kuwa ndiyo amri iliyo kuu. Hivi tutajibu nini Akhera sisi kwa udhalimu tunaowatendea wengine? Leo tumefikia mahali pa kutumia nguvu...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Equinor yapanga kuzungumza na Serikali ya Tanzania ili kurekebisha mazingira ya biashara, sheria na fedha ili kupata faida

    Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982. Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982. Punguzo hilo la thamani linaakisi...
  6. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 2 New Jobs At Save The Children Tanzania, January 2021

    JOB VACANCIES Click on each below to read more and apply/Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Formal Education Officer- (1 Post) 2. Non Formal Education Officer- (1 Post) Deadline for application is 4th Februari 2021.
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

    Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
  8. L

    JamiiForums Tanzania Individual Contractor - Construction Site Supervisor, Dodoma, Tanzania

    Individual Contractor - Construction Site Supervisor, Dodoma, Tanzania Organization: Unicef Country: Tanzania Field location: Dodoma, Tanzania Office: UNICEF in Dodoma Follow @UNjobs Closing date: Sunday, 31 January 2021 Individual Contractor - Construction Site Supervisor Job no: 537608...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

    Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mji mdogo wa Masumbwe Mbogwe

    Katika ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 27 January 2021 katika uzinduzi wa Kituo cha afya cha Masumbwe, Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ndg. Nikodemas Maganga ameweka wazi Mambo yanayofanyika Mbogwe. Mh. Rais amewapongeza wananchi wa Mbogwe kwa kuwachagua...
  11. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais, Makamu wa Rais na Wajumbe Wawakilishi Wanawake wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT)

  12. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Mtandao - Jini linalosumbua ofisi za Serikali Tanzania, TANESCO hawakosi

    Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii. Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

  14. mkadiriajimajenzi

    JamiiForums Tanzania CCM hoyee: Kituo kipya cha Mabasi Ikungi

    Tuliahidi ... tunatekeleza
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania SADC yapoteza mawaziri 10 kutokana na Covid19, Tanzania tumejipangaje?

    Mpaka sasa nchi wanachama wa jumuiya ya kikanda ya kusini mwa Afrika, SADC imepoteza mawaziri wake kumi ndani ya wiki mbili huku Zimbabwe na Eswatini zikiongoza kwa kila moja kupoteza mawaziri watatu. SADC inajumisha nchi 16 ikiwemo Tanzania, majirani ugonjwa umetamalaki na ni ugonjwa...
  16. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Unawakumbuka waandishi gani na vitabu vyao waliovuma Sana hapa Tanzania?

    Kama umesahau Basi nakukumbusha wachache. Alistabrus Elvis Musiba - Kufa na kupona, Njama, Kikomo Faraj Hassan Hussein Katarambula - Simu ya Kifo, Pili Pilipili. Hawa waandishi vitabu vyao vilitingisha Sana East Afrika. Musiba alikua na Mhusika katika vitabu vyake aliekua Jasusi Mbobevu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Simba SC yalaumiwa vipimo vya Covid-19

    25 January 2021 Mabingwa wa soka Tanzania timu ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam Tanzania yalaumiwa kwa kuwa na "mkono wake" ktk majibu ya Covid-19 yenye utatanishi. Mfano wachezaji 5 tegemeo wa FC Platinum ya Zimbabwe vipimo vyao vilionekana kuwa wana maambukizi ya virusi vya corona...
  18. Volatility

    JamiiForums Tanzania Austria: Azuiwa jijini Vienna akiwa na vinyonga 74 kutoka Tanzania

    Bado kuna watu wana ujasiri wa kusaliti malialisi za Taifa na uzalendo uliotapakaa kila idara ya chama, jeshi na mahakama ------------------- Mamlaka za Austria zimemzuia mtu mmoja katika uwanja wa ndege wa Vienna aliyekuwa akisafirisha vinyonga 74 wanaoaminika aliwachukua kutoka Milima ya...
  19. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Je, Don Nalimison ni raia wa Marekani au Tanzania, vipi maandalizi ya kitabu chake"AMERICAN LAND"

    Kuhusu Uraia wa Don Nalimison na maandalizi ya kitabu chake.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mchango na nafasi ya Asasi za Kiraia kwa Tanzania

    AZAKI zinatoa huduma mbali mbali katika jamii ambazo zinalenga kuboresha maisha na kulinda haki za Watanzania. AZAKI zimekuwa sauti ya jamii na chachu ya mabadiliko ya kisera na mifumo mbali mbali ya nchi. Tofauti na makundi mengine AZAKI zimekuwa zikiibua changamoto katika jamii AZAKI zina...
Back
Top Bottom