Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,206
- 34,122
Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI.
Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa!
Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi kwamba SUA wana wanasayansi wanao fanya tafiti zenye tija duniani!
Na hii ndio sababu kuu wamekamata namba moja Tanzania!
Wakati madokta na maprofesa wa vyuo vingine wakitumia muda mwingi kuunga juhudi na kupiga siasa, hali ni tofauti kwa SUA!
Mimi kama Mtanzania mzalendo nachukua nafasi hii kukipongeza chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa hatua hii!!
Webometrics Ranking: Sokoine University of Agriculture ranked first place in citations
TRANSPARENT RANKING: Top Universities by Citations in Top Google Scholar profiles | Ranking Web of Universities: Webometrics ranks 30000 institutions