tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Aga Khan Foundation Tanzania Jobs, March 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. National Project Coordinator- (1 Post) 2. Senior Project Officer- (1 Post) 3. Monitoring And Evaluation Officer- (1 Post) AKF is an Equal Opportunity Employer and is Committed to Safeguarding and Promoting the Welfare...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Women's Day -Hamna zaidi Mishono ya Vitenge?

    Nimeshangazwa na jinsi siku ya Wanawake inavyosherehekewa hapa Tanzania. Taasisi kadhaa hata zile za kisomi ni kuuza Vitenge na kuvaa kwa Mishono tofauti. Hakunaga lingine? Mbona wenzenu jirani wana mengi wanafanya na kuonekana?
  3. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is Kenya's ban on maize from Tanzania and Uganda has anything to do with this directive?

    Here is what Deputy Minister of Agriculture had to say! Kenya bans maize imports from Tanzania and Uganda, Bashe calls for calm SATURDAY MARCH 06 2021 Trucks loaded with maize from Tanzania parked at the Namanga border today. Photo| Filbert Rweyemamu Summary While in Longido District...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nilivyoyaona maendeleo ya Tanzania baada ya kuwa Ulaya kwa zaidi ya miaka minne

    Shalom, Baada ya kuwa Ulaya kwa miaka zaidi ya minne, hatimaye mwezi wa tisa mwaka 2020 niliamua kurejea nyumbani ili kumjulia hali baba yangu mzazi pamoja na ndugu zangu. Kwa kawaida mimi napenda sana kutembea, zaidi napenda kufurahia na kujifunza namna miji duniani kote ilivyojengwa. Hivyo...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Matajiri wote wangekuwa na Moyo kama wa Bill Lugie Tanzania tungekuwa mbali sana

    Nashukuru sana kuwa JF na pia Max Melo kumkaribisha humu Billionea Lugano. Huyu jamaa kwa kweli amekuwa model wa vijana wengi wachapakazi hapa Nchini nadhani na nchi za nje pia ambazo kutwa kucha anatembelea. Jamaa hana majivuno, anashare mawazo na sisi watu wa daraja la kati wa uchumi wa kati...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

    Mambo vp JamiiForums? Ninashauri sana nchi yetu ya Tanzania isiwe na vazi moja tu la taifa. Tuwe na mavazi rasmi matano (5) kutoka katika makabila yetu yatakayorasimishwa na kupewa hadhi ya utaifa. Yaaani kama inawezekana mpangilio uwe hivi au hata kama kura ya maoni inaweza kupigwa itakuwa...
  7. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Mtokambali: " Wito wa maombi maalum ya kitaifa ya siku 21 dhidi ya wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)”.

    Wana jamvi amani kwenu ! Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha mycotoxins, hasa aflatoxins na fumonisins ambazo yanajulikana kusababisha saratani Sumu hizo...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Malawi waanza kupokea chanjo za Corona

    Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona . Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao wapewe fursa ya kuchanjwa wakitaka , hasa wale wa vijiji vya Njisi , Kasumulu , Isaki , Kabanga na...
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Mbuga 3 za Tanzania zaingia kwenye vivutio 25 bora duniani: Serengeti yaongoza, Mlima Kilimanjaro nafasi ya 12 na Mbuga ya Tarangire nafasi ya 14

    Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor. Tuzo hizo hutolewa na kampuni hiyo inayoshushughulika na kutoa mrejesho wa mahoteli na vivutio mbalimbali duniani. Hifadhi tatu nchini Tanzania zimeibuka kidedea...
  11. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne za kujifukiza. Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja. Gharama ya kila mashine ni Sh7.5 milioni na kila moja ina uwezo wa kuhudumia watu sita kwa wakati mmoja wanaopaswa kukaa kati ya dakika tano...
  12. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania: Yanga SC kukabiliana na Coastal union uwanja wa Mkwakwani

    Baada ushindi wa goli 3-0 wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Coastal Union katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 30, 2020, leo vijana wa Jangwani watakipiga na Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani Kuelekea mchezo huo takwimu zinaibeba Coastal union maarufu Wagosi...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Ukisema kuwa Tanzania haikushinda corona phase one, utakuwa muongo; huna shukrani kwa Mungu

    Nimeona watu wakilaumu wakituna na wengine kudhihaki kwamba serikali haijawa serious huhusu Corona. Sisi tunaojua maana ya outbreak tunajua kwamba kwanzia mwezi wa 7 mpaka 12 hakuwa na Visa vya Corona. Wengine sisi ni watoa huduma za afya ni mashahidi kabisa kwamba Corona iliisha. Mungu...
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania New Job At Good Neighbors Tanzania, March 2021- Project Officer VSLA

    JOB TITLE: Project Officer VSLA Reports to: Senior Project Officer Location: Kasulu Kigoma Contract Duration: 10 months Good Neighbors Tanzania - Kigoma Office is looking for a suitable candidate for the mentioned post, who will be responsible for all Voluntary and Saving Loans...
  15. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Hii tweet ya World Bank Tanzania unaweza fikiri kuwa ni fake

    Huu ni uthibitisho wa wazi kabisa kuwa huwa tunadanganywa mengi na viongozi wetu wakiwa kwenye MIC!🚶🚶🚶
  16. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Account receivable officer - Tanzania

    Nimekutana nayo sehemu ACCOUNTS RECEIVABLE OFFICER - DAR ES SALAAM, TANZANIA HR World limited on behalf of our reputable client, we are looking for Accounts Receivable Officer RESPONSIBILITIES: 1. Follow up on, collect and allocate payments. 2. Carry out billing, collection and reporting...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Hali ya Uchumi Tanzania: Benki ya Dunia yapendekeza mfumo wa ncha 3 kupambana na COVID-19 na Mporomoko wa Uchumi

    Leo Machi 3, 2021 Benki ya Dunia inatoa Ripoti yake ya uchambuzi huru wa hali ya kiuchumi ya Tanzania ikiwa ni toleo la 15. Jiunge nasi tukikuletea taarifa mubashara. LIVE: YouTube: Facebook: Salaam za ufunguzi zilizotolewa na Mara K. Warwick, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za...
  18. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilipofikia katika nyanja za uongozi

    Kidogokidogo tutafika katika nchi ya ahadi. Ni suala la muda tu, angalia video hadi mwisho tafadhali.
  19. kese

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University of Tanzania

    Hello Habarini za wanajamii forum? Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University kwa anaefaham namna ya usomaji wa masomo ya science katika chuo hiki anisaidie maana kwa sasa mimi ni muajiriwa na nahitaji kusoma hii degree! Pia Advance nilisoma EGM na...
  20. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania

    Benki ya Dunia inatarajia kufanya uzinduzi wa Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania “Tanzania Economic Update” kesho tarehe 3 Machi, 2021. Ripoti hii ya uchambuzi huru wa Benki ya Dunia inaangazia changamoto, mafanikio ya kiuchumi, hali ya umasikini, vipato, rasilimali watu...
Back
Top Bottom