tamisemi

  1. L

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI fuatilieni Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhusu ajira mpya za Waalimu kuna urasimu mkubwa

    Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba. Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI wakatazeni wanao tuchangisha pesa za ujenzi wa shule ndege mnazo panga kununua zinatosha watosha

    Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu. Kama mwana JF hata mmoja haja hamasishwa au kufuatwa nyumbani basi subirini ni mkakati wanakuja. Kusema ukweli nimewapa lugha...
  3. msovero

    JamiiForums Tanzania Maoni: TAMISEMI fanyeni haya kuboresha Mfumo wa Kuajiri Walimu

    Kwa mtazamo wangu naona haya ni maeneo ya muhimu yanayopaswa kufanyiwa marekebisho ili kuepusha changamoto zinazojitokeza wakati wa kutoa ajira. 1. Unganisheni mfumo wenu na database ya NECTA kwakuwa wao ndio wenye taarifa zote za kielimu za waombaji basi hii itasaidia pale ambapo mwombaji...
  4. huskryderz

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliohamishwa Utumishi kuanzia Agosti 2019 hadi Julai tarehe 15, 2020

    Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu. Inakuaje mnashindwa...
  5. msovero

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ndumbaro umejichanganya sana kuhusu ajira 13,000 za walimu

    Badala ya kutoa majibu yanayo eleweka umeishia kujichanganya huku ukijibu kisiasa zaidi kwa kujikanyaga kanyaga Umesema mmetii agizo la mheshimiwa Rais la kuajiri walimu 13000 hapo hapo unasema mmeajiri walimu 8000 katika awamu ya kwanza. Hata hao elfu 8 hawajafika. wengine wapatao 5000...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo, tafadhali angazia vijana wanaofanya kazi ya kukusanya ushuru kwenye Halmashauri

    Kwanza nitoe pongezi zangu za dhati kwako kwa ufanyaji kazi wako uliotukuka. Jafo naomba upatapo ujumbe huu ufanyie kazi; sio nakulazimisha mzee wangu hapana ni sehemu ya uzalendo wa vijana wako waliokuwa chini ya Halmashauri mbali mbali. Waziri, vijana wengi wameajiriwa ndani ya Halmashauri...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira unaotumika umefeli kutokana na sababu zifuatazo

    Mfumo wa ajira unaotumika umefeli kutokana na sababu zifuatazo. 1. Haiwezekani jina la mtu aliye ajiriwa kujirudia zaidi ya Mara 195 alafu wasingizie kuwa ni tatizo la kiufundi. 2. Haiwezekani mtu aliyemaliza form 4 mwaka 2019 kuajiriwa alafu wasingizie kuwa mfumo ulikuwa hauruhusu ku edit...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yafafanua kasoro za majina ya walimu walioitwa kwenye ajira 13,000 za Magufuli

    Serikali yaanika sababu kasoro majina kwenye ajira za walimu SERIKALI imeeleza sababu zilizochangia kuwapo kwa kasoro mbalimbali kwenye majina ya ajira za walimu 13,000 zilizowekwa kwenye tovuti hivi karibu. Hali hiyo ilizua mjadala na maswali mengi katika mitandao ya kijamii, huku ikibainisha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Baada ya Mchakato wa Ajira kukamilika na Majina kutoka Sasa kumekuwa na lawama nyingi Sana kwenda Kwa Tamisemi. Mimi nilikuwa na Ushauri Kama ufuatao.... 1. Kuna ulazima Gani wa watu kwenda Kuripoti ilhali lawama zimekuwa nyingi na Watu wamekosa Imani kabisa na Serikali yetu ya CCM Kupitia...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada...
  11. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imerudia kuajiri walimu wa UPE?

    Katika muendelezo wa kubaini uozo uliopo kwenye ajira za walimu hatimaye nimekutana na walimu ambao elimu zao za kidato cha nne zinaacha maswali mengi kutokana na namba zao za kidato cha nne kutotambulika na baraza la mitihani (NECTA). 1. SHAFII MOHAMED NAMKURUNG'UNDU Mtajwa hapo juu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imemwajiri Babu Lembrice Peter kwa kutumia namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine

    Ukistaajabu ya Abdallah Shonde utayaona ya "Babu Lembrice Peter" mwalimu mtarajiwa shule ya msingi Maliwa. Tukiwa tunaendelea kubaini madudu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira mpya za walimu, nimebaini kuna mtu ameajiriwa kwa kutumia index namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  14. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  15. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hivi zile ajira 13000 za waalimu kulikoni?

    Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini TAMISEMI itaweka hadharani Orodha ya majina ya Walimu waliopangwa Vituo vya Kazi?

    Najisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu. Naombeni Wahusika huko TAMISEMI mtoe tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao. Nawasilisha!
  18. Faana

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI

    Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu naamini ni wenye afya njema na mnaendelea kuwatumikia wananchi wa Tanzania vema kabisa, Naomba kuwasilisha kwenu mambo mawili na hasa katika wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi wa Mbunge na Madiwani. Sisi wakazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro tumesahaulika kwa kila...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI, mna agenda gani na Mkuu wa WIlaya ya Hai? Je, ni maagizo yenu?

    oi
  20. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Wakuu Salaam; Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu. Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ . Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa...
Back
Top Bottom