tamisemi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada...
  2. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imerudia kuajiri walimu wa UPE?

    Katika muendelezo wa kubaini uozo uliopo kwenye ajira za walimu hatimaye nimekutana na walimu ambao elimu zao za kidato cha nne zinaacha maswali mengi kutokana na namba zao za kidato cha nne kutotambulika na baraza la mitihani (NECTA). 1. SHAFII MOHAMED NAMKURUNG'UNDU Mtajwa hapo juu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imemwajiri Babu Lembrice Peter kwa kutumia namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine

    Ukistaajabu ya Abdallah Shonde utayaona ya "Babu Lembrice Peter" mwalimu mtarajiwa shule ya msingi Maliwa. Tukiwa tunaendelea kubaini madudu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira mpya za walimu, nimebaini kuna mtu ameajiriwa kwa kutumia index namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  5. msovero

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  6. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi zile ajira 13000 za waalimu kulikoni?

    Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini TAMISEMI itaweka hadharani Orodha ya majina ya Walimu waliopangwa Vituo vya Kazi?

    Najisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu. Naombeni Wahusika huko TAMISEMI mtoe tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao. Nawasilisha!
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI

    Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu naamini ni wenye afya njema na mnaendelea kuwatumikia wananchi wa Tanzania vema kabisa, Naomba kuwasilisha kwenu mambo mawili na hasa katika wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi wa Mbunge na Madiwani. Sisi wakazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro tumesahaulika kwa kila...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI, mna agenda gani na Mkuu wa WIlaya ya Hai? Je, ni maagizo yenu?

    oi
  11. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Wakuu Salaam; Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu. Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ . Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Wakuu naomba tupeane tips jins ya kuomba hizo ajira za ualim kwa sisi wa kada ya engineering. Nimeona kwenye tangazo kua tuta ajiriwa kama walimu daraja la 111b kwa wenye astashahada na 111c kwa wenye shahada za civil, electrical na mechanical. Naomba tupeane elimu kidogo tunaombaje ombaje...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Wakuu habari, kama nilivozungumzia kwenye kichwa cha habari. Nina shida na mawasiliano ya TAMISEMI kwa anayeelewa niingieje kwenye website yao au email yao, vilevile sina email yao wala website yao, naombeni anayefahamu mawasiliano yao anisaidie. Bila kujali ngoja niwaeleze tatizo linalonituma...
  14. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA AJIRA 12,000 ZA UALIMU TAMISEMI: Ni la kweli au ni magumashi ya CCM na siasa za uchaguzi mkuu tu?

    Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari... Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari... Ukiingia katika website ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi Serikali ya Mitaa (DLG) - TAMISEMI barua za uhamisho zimerundikana, ukiwafuata Mitumba wanachomoa yako kwa hongo ya laki 6

    Utaratibu wa kutoa majina ya watumishi waliokidhi vigezo vya kuhama kwenye tovuti ya TAMISEMI kila mwezi wa Juni na Desemba umeshakufa. Kwa sasa barua zimerudikana pale idarani kurugenzi ya serikali za mitaa Mitumba. Barua za watumishi waliokamilisha tàratibu za kuhama zote baada ya kupitishwa...
  16. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania GE2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM. Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wavumilivu kama waajiriwa walio chini ya TAMISEMI

    Habari ndugu zangu! Kila nikitazama television nagundua jambo jipya. Wafanyakazi walio chini ya TAMISEMI wana mabosi wengi sana, na kila boss anataka kuonyesha nguvu yake. Punching bag la ma RC, RAS, DC, DED, DAS, na kadhalika na kadhalika ni watumishi walioko huko serikali za mitaa...
  18. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Building a Great Gravel Road: 10 Basic Principles

    Building a gravel road takes planning, preparation and the use of specialised grading and compacting equipment. Ideally, you want a smooth, uniform surface that can handle heavy loads and heavy weather without breaking up. For highly detailed instructions and insights on how to build a gravel...
  19. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Tamisemi yaitaka Udart kurejesha huduma ya usafiri kabla ya Juni 01

    Waziri wa Nchi , ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza wakala wa mabasi yaendayo haraka UDART kuhakikisha usafiri wa mabasi hayo unarejea kama kawaida kabla ya Juni Mosi, mwaka huu na kuondoa kero ya sasa inayowakumba abiria wanaotumia usafiri...
  20. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Shule za Tusiime jitafakari na uwalipe wafanyakazi stahiki zao

    Kwa kile ambacho hakikutarajiwa na wengi Ni suala la wamiliki wa Shule za Binafsi ikiwemo Tusiime ambayo inamiliki Tusiime nursery, primary na secondary kukaidi kulipa mishahara ya watumishi wake wakiwemo walimu. Mmiliki wa Tusiime aliitisha kikao na wafanyakazi mnamo tarehe 17/4 kwa nia ya...
Back
Top Bottom