tamisemi

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule. Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
  2. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI iwajibishwe kwa kuzua taharuki kuhusu suala la chaguzi za kidato cha tano

    Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo. Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika kwa NBS, Wizara ya Fedha. Lakini Waziri Ummy inabidi aache tabia ya kuzisemea ofisi za Ma-RC eti...
  3. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Ilichofanya TAMISEMI ndio demokrasia ya kweli kwa sasa, Shukran Ummi Mwalimu na mama Samia

    Dah!! Haya mambo tumeyazoea kuona kwenye nchi kama Marekani, Uingereza n.k Kitendo alichofanya huyu dogo Josephat kama ungekuwa utawala wa mwendazake sasa ungekuta wazazi wanamtafuta huyu kijana. Kwanza angepotezwa kwa kuidhalilisha serikali bila kusikilizwa hoja zake,angepigwa na kuvunjwa...
  4. kunena

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Mwanafunzi Josephat John aliyevaa mabango hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB

    Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB OR-TAMISEMI,DODOMA Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada ya kujianika juani huku akiwa amevaa mabango yenye...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu kuna Hujuma huku Tamisemi, Tusaidie

    Mh Waziri Ummy Mwalimu Yapata mwezi na nusu sasa mfumo wa makato ya mishahara ya watumishi wa manispaa ya Ilala na Temeke haifanyi kazi, kiasi kwamba watumishi walio katika hizo manispaa wanaotaka kuchukua mikopo wamekwama yapata mwezi na nusu sasa, tunaambiwa system ya RASSON imeharibika, hivi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Elimu itolewe Tamisemi haraka, wizara imelemewa majukumu

    Nimekuwa naifuatilia Tamisemi na jinsi inavyofanya kazi, ni dhahili wizara hii imelemewa na majukumu. Haiwezekani Tamisemi ichuje ajira za walimu, afya, kilimo n. k wakati Kuna tume ya ajira. Hiyohiyo wizara ihusike na uhamisho wa watumishi, iratibu mitihani na ulipaji posho, ishughulikie...
  7. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI toeni vibali Halmashauri ziajiri walimu na manesi

    Huu ni ushauri wa bure. TAMISEMI shughulikieni matatizo ya msingi sio kujipa makazi mengi msiyoweza kuyamaliza. Toeni vibali Halmashauri ziajiri waalimu na watumishi wa afya kisha taarifa zao zitumwe huko kwenu/DODOMA. Halmashauri zina wasomi wa kila aina hivi kweli hawawezi kuajiri waalimu...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Kigezo kikubwa ambacho tutakitumia kuajiri walimu ni wale wanaojitolea. Alalamikia barua feki

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati hawajitolei. Ametoa kauli hiyo leo Mei 25, 2021 Bungeni Dodoma wakati akimjibu Mbunge wa Longido Kiruswa aliyehoji ni kwanini Seikali isiajiri...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Tamisemi toeni vibali vya kuajiri kwa waliojitolea kwenye ajira za mikataba ndani ya Halmashauri

    Mh. Waziri wetu,tunaomba muliangalie hili kwa jicho la kipekee,Vijana wamekubali kulitumikia Taifa Lao kwa uzalendo wa hali ya juu.Vijana kila mwaka wanapata ajira za mikataba,hii inaonyesha Kuna uhaba wa wafanyakazi ndani ya Halmashauri zetu. Hivyo Kuna vijana wengi wanapewa ajira za mikataba...
  10. emmarki

    JamiiForums Tanzania Registration number ya University of Iringa

    Katika kuomba kazi zilizotangazwa na Tamisemi kuna kipengele cha kujaza namba ya usajili wa chuo. Mhusika alisoma chuo cha Tumaini University-Iringa baadaye chuo kikajitegemea kikawa University of Iringa (Uol). Changamoto kwenye machaguo hakipo, naomba kama umepitia hiki chuo na umeomba kazi za...
  11. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI elezeni kwa uwazi hatua za kufuata ili kuwalalamikia Wakurugenzi

    Ninaomba kujua kwa uwazi hatua sahihi za kufuata pindi ninapotaka kufikisha malalamiko yangu dhidi ya Wakurugenzi na Wakuu wengine wa idara ambao wanafanya ofisi za umma kama kampuni zao. Waziri Ummy Mwalimu aliwasimamisha kazi Wakurugenzi baadhi kwa kauli kwamba wananchi walifikisha malalamiko...
  12. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Ni kweli application letter zinasomwaga TAMISEMI?

    Wakuu, hope mko poa. Nimekuta mjadala wa vijina walikuwa wanamponda dogo mmoja, eti anajikunja kuandika application latter kali uku, wakimuambia kuwa Tamisemi hawajiangaishagi kusoma application letter za waombaji wa ajira za ualimu. Last year waombaji walikuwa karibia zaidi ya 100,000 (zaidi...
  13. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ongezeni category ya Ustawi wa jamii ,wengi wanalia maombi yao yanakwama.

    Kwenu TAMISEMI. Waombaji wa ajira wanahangaika kuwa mfumo wa kujisajili na ajira hasa upande wa Ustawi wa jamii unawakataa kwa sababu option iliyo ni ya Health (Bachelor degre ,diploma,advanced dimploma na certificate). Kwenye NTA level mmeeka level 7 pekee wakati kuna vyuo vinatoa NTA level 8...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wameshaanza dili ajira ya ualimu

    Jamani watanzania wenzangu poleni na majukumu ya siku nzima ya leo. KM mnavyoweza kukumbuka ya kuwa ajira mpya zaidi ya elfu 6 zimetangazwa. Nimejaribu kuingia kwenye mfumo wa maombi ya ajira nimekwama mwisho. Nimekuta zile command tatu za tengeneza akaunti, hifahdi na jisajili ziko dis-abled...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726 Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana na vifo, kustaafu, kuacha kazi au kuhamia sekta nyingine. Waombaji wanatakiwa kuomba kupitia tovuti...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, kitendawili cha uhamisho wa watumishi chateguliwa na Katibu Mkuu Tamisemi, Prof. Riziki Shemdoe

    Prof. Shemdoe atengua kitendawili cha uhamisho Nteghenjw Hosseah, OR-TAMISEMI Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI iingilie kati suala la ajira mpya za Walimu. Kinachoendelea ni undugu, rushwa na udanganyifu

    Ndani ya siku hizi mbili imesemekana eti walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali za Serikali ndio watapewa kipaumbele kwenye ajira. Hivyo majina ya watu hao yametumwa Tamisemi. Ukweli halisi ni kwamba walimu waliojitolea kwa mwaka mzima hawafiki hata 1% ya waajiriwa mia sita wa...
  20. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imulikeni wilaya ya Kilindi inachonganisha wafanyakazi na Serikali

    Waziri wa Tamisemi Madam Ummy, kama kuna wilaya inayoleta uchonganishi katika mkoa wa Tanga kati ya wafanyakazi na serikali yao basi ni wakuu wa idara ya wilaya ya Kilindi. 1. Wakuu wa shule wanalazimishwa kutoa pesa kwa kila mihutasari wanayopitisha, yaani lazima utoe kitu kidogo ili muhtsari...
Back
Top Bottom