Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake.
Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife...
Huu ujinga unaotendwa na watendaji wa vijiji na kata nchi nzima wa kuhakikisha fomu za wagombea wa upinzani hazipokelewi kwa udi na uvumba, haujawahi kuwepo kwa kiwango kama hiki tangu nipate akili, sijawahi kuona serikali ya ccm isiyojiamini kama hii tangu nchi hii iachwe na wakoloni, ni aibu...
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesikitishwa na viongozi wa mkoa wa Iringa kushindwa kujenga hospitali ya wilaya kwa wakati.
Mh Jaffo amempa siku 14 mkuu wa wilaya ya Iringa mh Kasesela awe amekamilisha ujenzi huo kwa 100% vinginevyo wasilaumiane.
DC Kasesela ameahidi kukamilisha ujenzi huo ndani...
Hadi sasa Tumeingia robo ya pili kwa mwaka 2019/20 lakini tovuti yenu haina majumuisho ya mapato ya kila halmashauri kwa mwaka wa fedha 2018/19.
Waziri wakati anatangaza alisema watu wa mapato wanafanya usuluhishi wa mahesabu ndio wataweka, lakini tovuti haina kitu zaidi ya taarifa za mapato ya...
Wakati Mh Rais Magufuli anataka kusogeza huduma kwa wananchi kwa kuwahudumia kwa ukaribu zaidi wilayani Tarura wakala wa barabara vijijini wanapanga kulipa watumishi wake wahamie ofisi za mkoa. Fedha hizo zingetumika kufunga mifumo ya ulipaji kila wilaya. Huu ni ubadhilifu mkubwa wa fedha za...
*Muhimu*
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.
Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019
BONYEZA HAPA KUPATA MAELEKEZO...
Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amepinga mpango wa Serikali wa kuwapangia vituo vya kazi moja kwa moja walimu wanaoajiriwa, akihoji ni kwanini inapoka madaraka ya Halmashauri.
Ndugai ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 23, 2017 ikiwa ni siku moja baada Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.