takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TFF na TAKUKURU Washughulikie Malalamiko ya Simba

    Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga. Kama malalamiko hayo ni kweli basi kuna uvunjaji wa sheria za nchi zinazozuia rushwa; hivyo TAKUKURU inatakiwa ilifanyia...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yatoa mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa (TAKUKURU) wa Wilaya zote Nchini

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imehitimisha mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kutoka katika mkoa na wilaya zote nchini, yaliyofanyika kwa lengo la kujengeana uwezo na kupeana mbinu zaidi za uelimishaji Umma katika...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene aitaka TAKUKURU kuwadhibiti wachezeaji rasilimali za nchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika fedha za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na serikali nchini ili kuhakikisha thamani...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa Matapeli ajira za TAKUKURU

  5. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

    Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi. Msikilize mwenyewe. --- Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Position: Investigation Officers II (250 Posts) Required Qualifications: Academic Qualifications: Applicants should possess three years Advanced Diploma or Undergraduate degree from recognized learning institutions in any of the following fields; Civil Engineering, Building...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Assistant Investigators III (100 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Assistant Investigators III (100 Posts) Required Qualifications: Academic Qualifications: Applicants should possess Certificate of Secondary (CSE), Basic Technician certificate, or Diploma from a recognized learning institution in one of the following categories; National Service’s...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi ya Shule afikishwa Mahakamani kwa kutaka kumhonga Afisa wa TAKUKURU

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Morogoro, imemkamata na kumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa shule, Suleiman Mwishehe kwa tuhuma za kujaribu kumhonga Afisa wa TAKUKURU kwa kutoa shilingi Milioni 3 ili asifikishwe mahakamani wakati wa uchunguzi kwa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya TAKUKURU Mkoa wa Ilala: Mkandarasi akatwa zaidi ya milioni 327 kwa kuchelewa kukamilisha mradi wa vyoo vya umma Dar

    https://www.youtube.com/watch?v=GsdrbCwShyU Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) – Mkoa wa Ilala, Sosthenes Kibwengo anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari kwa ajili ya kutoa taarifa ya miezi mitatu, leo Januari 31, 2024. Mkutano huo na Wanahabari unatararajiwa kufanyika...
  10. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU mbona hamuwakamati trafiki wanaochukua rushwa hadharani?

    Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni. TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate hawa majambazi katika nguo nyeupe. Ninachojiuliza mbona wanaofanya hivyo hadharani hawachukuliwi hatua?
  11. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakazi wa Muganza, Chato tunaomba TAKUKURU imchunguze Hakimu Mfawadhi Makama ya Wilaya Chato

    Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa. Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa. Malalamiko yapo ofisi za PCCB wilaya ya Chato lakini...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kamateni Trafiki Wala rushwa

    Toka taasisi hii imeanzishwa sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, TAKUKURU iendelee kumchunguza Zahara Michuzi au iache?

    Hivi CCM haina watu wengine? Kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo? Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili, hii maana yake ni kwamba Rais aliyemteua haamini DC aliyemchongea wala haamini TAKUKURU, hii ina...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, nitaifuta TAKUKURU ni nitakamata waliowahi kuwa wakimbiza mwenge kitaifa. Hakutakuwa na ujambazi Wala ajari za barabarani.

    Wakuu, TAKUKURU kama Haina kazi. Rushwa ni Kila sekta. Nikiwa Rais maofisa wa TAKUKURU wenye miaka 40 kwenda juu nitawastafisha Kwa manufaa ya umma. Walio chini ya umri huo wanaenda depo la jkt mwaka mzima wakalime na kupata uzalendo. Wakifuzu wanahamishiwa halmshauri kwenda kupangiwa majukumu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi. Kwanza awali wananchi...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kituo cha Polisi Wilaya ya Butiama chajengwa kwa Tsh. Milioni 802, kukamilika Desemba 2023

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini ameagiza kukamilika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja B cha Wilaya ya Butiama Mkoani Mara, ifikapo mwezi Disemba 2023 kama ilivyoelekezwa. Maagizo hayo ameyatoa leo Novemba 18, 2023 wakati...
  17. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU ni kweli hamjui wanachofanya maafisa TRA bandarini

    Note. Huu ni uhalisia wa kinachoendelea bandarini na sio habari za kuchafuana. Mimi kama mmoja wa wadau wa kubwa wa sekta ya bandari nachukizwa sana na matendo yanayofanywa na maafisa wa TRA bandarini(TPA) na bandari kavu(ICDs). Wenzetu wa TRA wametugeuza customs agent kama mitaji wameset...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kama zile 5-1 zimetokana na Rushwa, Simba mkaripoti TAKUKURU Temeke

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya Simba inaamini kupoteza kwa magoli 5-1 dhidi ya Yanga kumechangiwa na mazingira ya rushwa basi taarifa hiyo ikaripotiwe Ofisi ya TAKUKURU Temeke, Dar es Salaam. Awali, Mbunge...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, kwenye leseni za biashara online na za Wizara ya Fedha kuna rushwa inatolewa kwa nguvu

    Kuna wakati niliwahi kuja na uzi hapa nikimlalamikia Waziri wa Fedha kutwa na usiku anasaini mikataba ya kuomba mikopo ilihali kwenye data base yake ya kuhusu watu wanao omba leseni za biashara mbalimbali wamewasilisha Maombi ili waweze kukata leseni na kufanya biashara. Binafsi nilikuwa mhanga...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Geita afunga safari china kujifunza kuendesha wilaya hiyo kwa pesa kwa pesa za halmashauri

    Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi. Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza...
Back
Top Bottom