takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: TAKUKURU yazuia milioni 329 ya kununua jenereta zisizo na ubora

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imezuia Sh329 milioni zilizopangwa kutumika kununua jenereta mbili kwa ajili ya iliyokuwa Mamlaka ya Uendeshaji na Uendelezaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), baada ya kugundua kuwa hazina ubora...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Takukuru yabaini upigaji Kadco, ununuzi wa majenereta

    Sintofahamu ya ununuzi wa majenereta katika Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezwaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), imetatuliwa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro kusimamisha ulipaji wa malipo ya jenereta. Kadco iliagiza...
  3. Gabeji

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAKUKURU hawana meno kwenye rushwa ya uchaguzi wa ndani CCM?

    Wananchi wa mkoa wa Dar es salama wameandamana mpaka kwenye ofisi zao, wakilalamika juu ya Rushwa, na kuiba kura kwa baadhi ya watinia nia ya uchanguzi wa serikali za mitaa. Swali je, TAKUKURU hawana meno kwa CCM? Chanzo East Africa Tv. ======= Wanachama wa chama cha Mapinduzi kutoka...
  4. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania TFF na Takukuru ongezeni umakini mechi ya leo kuna tetesi waamuzi wamelipiwa kila kitu!

    TFF tunataka kuangalia mpira wa haki kuna habari chini ya kapeti waamuzi wamekwisha chukua bahasha zao na wamelipiwa huduma zote, Hapo hapo Takukuru pia wafuatilie mechi zinazoihusu yanga wanatuharibia mpira wetu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU mchunguzeni Afisa Habari mkoa wa Singida

    Hapa mkoani Singida, Afisa Habari mmoja mwanaume anatuchezea michezo ya nyumba mbele. Waandishi wa Habari Mkoa wa Singida tunateswa sana na huyu Afisa Habari anayekata posho zetu juu kwa juu na kutaka sisi tufanye kazi ya bila kulipwa wakati malipo ya kazi husika yanatoka. Mfano hivi karibu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 TAKUKURU: 23% ya Watanzania wanapendelea Rushwa, Uchaguzi watajwa Kama "Wakati wa Mavuno"

    Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Joseph Kasongwa Mwaiswelo, amesema utafiti wa taasisi hiyo uliofanyika mwaka 2020 umebaini kuwa asilimia 23 ya Watanzania, sawa na watu milioni 15, wanapenda rushwa. Aidha, matokeo ya utafiti huo yanaonyesha...
  7. milele amina

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!

    Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Lengo la kuanzishwa TAKUKURU lilikuwa ni nini?

    1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali. 2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia? **Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
  9. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Nathanael Atanas Mpasi aibuka mshindi maalumu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Ajinyakulia shilingi milioni 5

    Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU, TAMISEMI mje Karagwe - Kagera, Walimu Wakuu na Maafisa Elimu (Karagwe) wanaumiza wanaopewa tenda

    Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya Shule za Msingi. Inapotokea kuna tenda Mkandarasi anapata inayohusu Shule fulani, ili uweze kupata...
  11. Selwa

    JamiiForums Tanzania Tenda za serikali Miyeyusho, Takukuru mnatakiwa kuchunguza

    Juzi katika kikao kimoja hoteli kubwa nchini nikakutana na mfanyabiashara mkubwa, nikamwambia mwanangu mbona hauongezi wigo wa biashara yako, akanijibu Tanzania haina biashara halali na ukafanikiwa. Doh nikastuka., tajiri akaendelea kuniambia Yeye ana duka kubwa ana mikataba na kampuni private...
  12. I

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

    Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali. Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Napendekeza: TAKUKURU wajifanye kama kondakta wa daladala ili wadake traffic wala rushwa

    Nina pendekeza kama kweli TAKUKURU wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama Kondakta wa daladala hasa za hapa Dar Es Salaam ili wakamate Traffic ambao wanaomba rushwa. Kama hilo haliwezekani basi nashauri hiki kitengo aidha kifutwe au kibadilishiwe majukumu. Maana...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU Naomba Msitumike Vibaya kwa mambo ya Kizembe na Kijinga ya TRC kwenye Tickets za SGR

    Salamu kwenu nyote. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni nchi inayoongoza kwa kujifelisha yenyewe kimakusudi huku ikijivika upofu wa kimakusudi. Ni Taifa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

    Abiria wanaotumia Treni ya SGR kutoka Dar es salaam - Morogoro hadi Dodoma wametuhumiwa kuhujumu shirika la reli Tanzania TRC kwa kutolipa nauli ambazo zianendana na sehemu wanazoelekea au vituo wanavyoshukia. Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yasema UDART walisaini makubaliano batili kujenga maduka katikati ya Barabara

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wilaya ya Temeke imebaini kuwa baadhi ya Watumishi wa Wakala wa Mabasi Yaendao Haraka (UDART) waliingia makubaliano batili na Watendaji wa Kampuni ya Sahara African Beauty kwa ajili ya kujenga jengo la kudumu lenye vyumba 60 kinyume na Sheria...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pamoja na January Makamba kutumbuliwa. Takukuru wampeleke Mahakamani na Maharage Chande kwa mkataba feki na Mahindra Tech akiwa Waziri wa Nishati

    Kwa akili gani ya kawaida unaweza kukubali kuwa Mahindra Tech walilipwa bilioni 80+ eti kuboresha ufanisi wa Tanesco? Ufanisi wenyewe eti kuboresha softwares na huduma za kidigital za Tanesco ili kuboresha miundo mbinu. Lakini hakuna kilichofanyika zaidi ya bil 80 plus kuliwa na Makamba...
  18. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU - Uyui Tabora, chunguzeni Tuhuma za rushwa kwa mtendaji kata ya Loya kwenye zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura

    Tume huru ya uchaguzi ilitoa nafasi za kazi kwenye kuboresha daftari la mpiga kura na wazalendo waliomba kulitumikia taifa lao! Cha kusikitisha Mtendaji kata wa Loya akaanza kushawishi waombaji watoe 25000/= Ili kujihakikishia kupata nafasi hizo na wale ambao hawakutoa chochote...
  19. Copro mtego

    JamiiForums Tanzania KERO Hospitali ya mkoa Morogoro kuna huduma mbovu na uuzaji wa dawa bila utaratibu

    Jana nilikuwa nafanya mawasiliano na rafiki yangu aliyempeleka mama yake hospitali ya MKOA MOROGORO. Aliyoniambia nilishangaa na kusikitisha sana Kwanza mama alikuwa anaumwa tumbo ameharisha kweli alipewa drip (rl) lakini mtoto wa mgonjwa alilazimishwa kuinunua ilihali mgonjwa ana bima. Mtoto...
  20. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mko wapi Kashfa ya Sukari?

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mko wapi kwenye hii kashfa ya Sukari? mmeshamsikia Waziri Bashe, Mmeshamsikia Mpina, mmeshamsikia Tulia, mmeshaisikia Kamati ya Bunge, mmeshawasilikia wazalishaji na mmeshamsikiliza mkurugenzi wa Bodi ya Sukari na maoni mbalimbali ya watanzania...
Back
Top Bottom