Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,936
Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...
- hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua Ni kina nani wanadai au kitafuta miili ya ndugu zao
- hujajaribu kujua au kukutana waliopoteza ndugu zao. Yaani, wale watoto/vijana waliouwa pale Mwanza hutaki kujua wazazi wao? Na yule mama na mwanae waliouawa mbele ya kamera hutaki kabisa kujua?
- umeendelea kukingia kifua vyombo vya dola na kuvipongeza jwa mauaji yale kwa kisingizio cha kutuliza "amani". Inamaanisha vyombo hivyo vilipata Baraka na vinaendelea kupata Baraka kutoka kwako. Miezi sita baadaye hujamwajibisha hata kuruta mmoja. Unataka watu waamini kilichotokea ni bahati mbaya.
- Utawala wako umeendelea kufumbia macho matukio ya utekaji na kupoteza wananchi kiasi kwamba haijulikani yapi ni uhalifu na yapi yanafanywa na vyombo vya dola. Kitendo cha Mafwele kutajwa kingekushtua...haujashtuka..IGP hajashtuka na wale wavuta bangi za madaraka bungeni hawajashtuka...
Unataka watu wengine wa nje wawajibishe nyinyi? Yaani Wamarekani, EU, SADC na wengine waumizwe na matukio kuliko mnaojiita viongozi wetu...
Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...
ZA MWIZI.....