tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msijaribu kuichokoza Serikali ya Marekani tafadhali kuhusu Raia wao kupatikana na mabomu nchini

    Waoneeni size yenu Chadema Huko mnakokwenda sio Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya akiwa na mabomu ya kurusha? 😃 Hivi mnaona hayo mabomu ya kurusha ni silaha kubwa na USAF? Hayo mabomu...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda. Tafadhali mwana JF usishindane na serikali

    Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa. Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja. Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma nadhani kuanzia Juni mimi nilikuwa mpinzani kabisa ila kitendo cha wapinzani kuwaunga mkono Gwajima...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Samuya ya uchawa naomba aifahamuye anielimishe hapa tafadhali

    Marehemu John Magufuli alikuja na falsa ya hapa kazi na wanyonge. Samuya alikuja na uchawa na kazi iendelee. Je, hii falsafa inamaanisha nini kwako binafsi kama mdau katika taifa lake?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Samuya na genge lako jifunze toka kwa Omar Bashir na Muamar Gaddafi

    Taifa linajua. Limepoteza watu wengi wasio na hatia. Linajua namna wafadhili wako wanavyojitahidi kukubakiza madarakani. Linajua kila kitu. Ila, kama unajitakia na kulitakia mema taifa, chonde chonde. Jifunze toka kwa watajwa hapo juu. Walifanya kama unavyofanya. Je, waliishaje na kuishia wapi...
  7. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Waliopo karibu na ofisi za Tume wanapotangaza huu uchafuzi waingilie kati tafadhali

    Kinachoendelea hapo tume wanapotangaza matokeo ni kama wanajitekenya na kucheka wenyewe, waliopo karibu waende wakasalimie hapo
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Sana tunaomba mwacheni Polepole hii Nchi yetu sote

    Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake. Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote. Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tafadhali usipite bila kuchangia kuhusu CVT

    Ndugu zangu,kama unajua kitu toa msaada wa kielimu kwa anayeomba msaada.Kukaa kimya kwako mwenzakl anapata hasara kubwa sana wakati ungemuelimisha angesaidika na Mungu wa mbinguni angekubariki. Nina Suzuki Swift 2008,engine yake ni K12B,gearbox yake ni cvt, haina dip stick. Sasa mara ya kwanza...
  10. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFADHALI piga picha na wazazi wako

    Piga picha au video na wazazi wako. I promise you siku moja utashukuru ulifanya hivyo. Kumbukumbu zetu na watu wa karibu hufifia akilini, lakini picha huhifadhi matukio hayo ya thamani milele. Picha ya leo ni kumbukumbu utakayobaki nayo kesho. Na usiishie kwa wazazi fanya hivyo kwa ndugu zako...
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nyie Walumbi na Washititi wa Lugha ya Kiswahili haya Maneno Mawili ya Kimsamiati mapya ya Lugha ya Kiswahili yana maana gani?

    1. Kuvumbula, Kuvumbulwa na Kuvumbulana 2. Kipochi Manyoya
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama una Stress zako tafadhali Kula Chuma hiki ziondoke

    Kudadadeki.............. Shikamooni Wakongo.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mara ya pili sijapata gawio langu la Vodacom kupitia DSE – msaada tafadhali

    Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri. Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu. Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana: Nikipiga...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenye Video Clip ya RC mpya wa Arusha Kihongosi akichana / akiimba Remix ya Wimbo wa PAWA wa Mbosso aiweke hapa tafadhali

    Wiki mbili zilizopita alinichapia Wapuzi Fimbo kwa kutokuwa Wazalendo wiki kanionyesha kuwa Jamaa ana Kipaji sana tu.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa madini ya huyu Mama Msema Kweli tafadhali naomba mwenye namba yake ya Simu anipe nimrushie chochote kitu

    Kutwa nikisema hapa kuwa Vijana wa leo acheni Kuwadharau Wazee na kuendekeza Uzungu kwani Uzee ni Dawa nami pia mnaniona nimepitwa na wakati. Haya sasa hebu Kuleni Chuma kikali hiki!!!
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Toto tundu Humphrey Polepole tafadhali sana tusitiri sisi ndugu zako

    Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu. Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze unachotaka naamini ccm chini ya mama yetu kipenzi itakupatia ili tule wote. Mambo mengine achana nayo wewe...
  18. The humble Man

    JamiiForums Tanzania samaki Aina ya GOGO

    Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC yangu Ahmed Ally tafadhali popote pale ulipo nakuomba unijibu haya Maswali yangu....

    1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki? 2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa yoyote ya Matokeo ya Mechi za Pre Season huko Misri katika Page ya Simba SC ili kutowashtua...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye risiti za SMZ kulipia bili yote ya umeme waliyokuwa wakidaiwa, ailete hapa tafadhali🙏

    Salamaleko! Tumeambiwa kuwa mmelipa deni lote mlokua mkidaiwa na muungano. Tunaomba tuonyesheni risiti za malipo hayo tafadhali 🙏 Nawasilisha!
Back
Top Bottom