Msaada wa kiutumishi tafadhali

Msaada wa kiutumishi tafadhali

sepema

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2019
Posts
603
Reaction score
1,011
Salaam wakubwa.Ushauri unaombwa kwa mwalimu wa tgts E ambaye nina bachelor ya Education in Adult Education and community development.

Kwanza naomba kujua iwapo bachelor hii inakubali kubadilishiwa muundo kwenda maendeleo ya jamii. Kama inafaa naomba kujua fursa zilizopo huko kwenye maendeleo ya jamii,ili niachane na hii tgts E na kwenda kuanza na ngazi ya D kama masharti la kuhama kada yanavyotaka?

N.B: Wale mtakaosema nilitakiwa kumuuliza HR wangu nawakumbusha kuwa nafahamu sana utaratibu huo ila nimeliweka hapa ili nifaidike na wenzangu wenye shida kama hii.Asanteni
 
Back
Top Bottom