Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
Shikamoon wakubwa zangu.
Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima
Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana.
Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000
Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani pamoja na
Cheni niliyopewa na mama yangu pamoja na vitu vingine
Sasa toka juzi familia imeninunia hakuna anayeamini nimeibiwa na Mimi hapa msaada wenu naomba nielekezwe mganga wa maana sina utan hata mkoani naenda sina huruma PM iko wazi namba ya mganga nataka