Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 857
- 2,241
Tokea watangazaji maarufu wasimamishwe na bodi ya ithibati, masoud ameonyesha uwezo binafsi,
Vipindi vyake vya sasa kupitia channel yake ya you tube ni vizuri vyenye mvuto kuliko alipokuwa clouds,
Ana muda wa kutosha wa kutumia ubongo wake kujenga hoja na kujadili mada za msingi bula kubanwa na uongozi.
Hata wakikuruhusu
Hii ni fursa kwake kujenga safari yake mpya ya mafanikio nje ya platform.
youtube.com

Kipanya Tell A vision
Welcome to Kipanya TV where innovation meets creativity! Join me as I design and build electric cars from scratch, explore new ideas, and share insights on technology, creativity, and everyday topics. Subscribe and be part of the Kipanya movement! See even more/Tembelea zaidi: Website...