Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 23,069 Reaction score 28,149 Aug 8, 2026 #1 Najua hapa jukwaani ni kila kitu,naomba kujuzwa kuhusu uimara wa hizi simu ""Samsung Oxygen ""na ubora wake!
Najua hapa jukwaani ni kila kitu,naomba kujuzwa kuhusu uimara wa hizi simu ""Samsung Oxygen ""na ubora wake!
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,129 Reaction score 42,847 Aug 8, 2026 #2 No concepts tu ila hakuna official samsung galaxy phone inayoitwa Samsung Galaxy Oxygen. Ni rumors kama pia picha yako kwa juu maelezo yake yalivyoandikwa.
No concepts tu ila hakuna official samsung galaxy phone inayoitwa Samsung Galaxy Oxygen. Ni rumors kama pia picha yako kwa juu maelezo yake yalivyoandikwa.