taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wabunge: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iitwe Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa binafsi wametoa hoja zao huku wengi wao wakionekana kuunga mkono kuundwa kwa sheria hiyo. Aidha katika kuongeza nguvu hoja Wabunge wengi wanaonesha kwamba ni muhimu katika uundaji wa sheria hiyo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 unasomwa kwa mara ya pili Bungeni

    Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
  3. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya taarifa za BBC zinakera. Huenda ni mkakari mbaya wa waingereza

    Kwa wale wenye mazoea kusikiliza bbc kiswahili utagundua pamoja na taarifa sahihi ziko taarifa nyingine ni kwa malengo maalum. Kuna upendeleo dhidi kwa namna mambo ya kisiasa na kitamaduni wa nchi zinazoandamwa na uingereza na nchi za magharibi kwa ujumla. Pia mara nyingi zipo taarifa hazina...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Taarifa ya Kufanyika Vikao vya CCM Taifa

  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Ujenzi wa Shule mpya kupitia mradi wa Sequip

    KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP. OR -TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A. Chaurembo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala imepokea na kujadili taarifa kuhusu Utekelezaji Mradi wa...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022. IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Litafanyika zoezi la kawaida la Medani Mkoani Lindi na Mtwara kuanzia 19 hadi 29 Oktoba 2022

    Kwa mwenye jicho la tatu kuna kitu hapa Jeshi letu pendwa wanafanya ili kuwapa onyo wale jamaa wanaotaka kuleta dharau, safi sana hii.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

    Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho. Chanzo: EFM Sports Headquarters Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

    Leo tarehe 13 Oktoba 2022, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata shehena ya mizigo ya vitenge ya marobota 290 katika kontena mbili yenye thamani zaidi ya tsh. Billioni 5 iliyopitishwa kwa magendo katika bandari zetu. Mfanyabiashara mwenye shehena hiyo alitorokea Dubai majuma matatu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Taasisi za makanisa karibuni mtumie mfumo wa kidigitali kusimamia taarifa za kanisa

    Habarini! Tunazikaribisha taasisi za makanisa kutumia mfumo wa kidigitali wa ChurchMIS kusimamia taarifa za kila siku za kanisa kama vile Kuhifadhi taarifa za waumini Kuhifadhi na kufuatilia taarifa za fedha Kuhifadhi taarifa za miradi ya kanisa Kuhifadhi na kusimamia taarifa za idara...
  11. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Kwako Eng. Hersi Said taarifa hii ikufikie kuhusu chawa wako

    Popote ulipo nakupa pole Rais wetu kwa mapambano unayopitia katika kutetea chapa ya Yanga. Kufeli kwetu katika mambo mbalimbali yaihusishayo klabu yetu tatizo kubwa ni hawa machawa wako wanaokuzunguka, mdomo mwingi, sifa kibao utendaji sifuri. Hao wamekuwa wakiangalia matumbo yao tu na...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Iran: Televisheni ya taifa yadukuliwa wakati wa taarifa ya habari

    Tukio hilo limetokea baada ya taswira ya mtu aliyevaa kinyago usoni kuonekana akizungumza kisha ikatokea picha ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei akiwa amezungukwa na Wanawake wanne waliouawa hivi karibuni. Wadukuaji wanajiita Adalat Ali au Watetezi wa Ali wakihusishwa na waandamanaji wanaopinga...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Toyota yasema taarifa binafsi za wateja wake 296,000 zimedukuliwa

    Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao. Wateja walioathiriwa na kuvuja kwa taarifa hizo ni kutoka duniani kote na hasa waliojiandikisha kwenye...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

    "Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Australia: Serikali yabadili Sheria ya Taarifa Binafsi baada watu Milioni 9.8 kudukuliwa

    Kwa sasa kampuni za Mawasiliano ya Simu ikiwemo Optus zitatakiwa kushirikiana na Taasisi za Fedha na Serikali ili kuchunguza na kupunguza hatari ya matukio ya Usalama wa Mtandao, Udanganyifu, Ulaghai na Matishio mengine ya Kimtandao. Uamuzi huo wa Serikali unalenga kuwalinda Wateja waliokutwa...
  16. mgt software

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taarifa za kiuchunguzi kwenda Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo juu ya Ukaribishaji wa Jangwa na Njaa

    Wana JF Nimekusanya taarifa za kiuchunguzi katika mikoa mbali mbali hasa inayolima ndizi. Baada ya ujio wa upandaji miti ya mbao aina ya patula pine (pinus patula) nimegundua vitu vingi vimeanza kupotea kutokana na watu wakidhani wameyakabili maisha kwa kupanda miti hii baadae wauze mbao...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kusafiri bila kutoa taarifa inasaidia sana kwa usalama wako

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na tabia mbaya siku hizi za chuki, husda, wivu, gilba na ushirikina lazima uwe makini sana kwa wanaokuzunguka. Si vizuri kuweka wazi mipango yako. Hata ukitaka kusafiri unaondoka kimya kimya tu. Mimi hata nikija bongo likizo nashuka kimya kimya na nikiondoka...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

    Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15. Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
  19. Comrade Elishama

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taarifa za information systems management

    Habari wakuu, Naomba taarifa kuhusiana na kozi ya bachelor in information systems management inayotolewa ardhi university kuhusu sehemu za ajira ambazo unaweza kuajiriwa pamoja na vitu unavosomea kuhusu kozi hii tafadhari. Naombeni ushauri wakuu
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mexico yathibitisha kudukuliwa taarifa za afya za Rais pamoja na Jeshi

    Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa. Mexico imethibitisha kwamba ilikumbwa na udukuzi mkubwa wa data zinazotunzwa na jeshi, ikiwa ni pamoja...
Back
Top Bottom