taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Faini bilioni 5/- kampuni ikivujisha taarifa binafsi

    Kibano dhidi ya kampuni au shirika linalofanya makosa ya ufichuaji wa taarifa binafsi, ikiwamo kuuza taarifa sasa kinanukia baada ya serikali kupendekeza bungeni kutungwa sheria itakayokuwa na adhabu ya faini isiyopungua Sh. milioni moja na isiyozidi Sh. bilioni tano. Ikiwa ni mtu binafsi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Marekani kubadili vikwazo kuwawezesha wananchi wa IRAN kupata taarifa.

    Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata taarifa. Hatua hii ya Marekani imekuja kufuatia kifo cha mwanadada wa Kikurdi nchini Iran...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kutoka kwa RPC wa Njombe

  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji, ahimiza kutumia fursa za kibiashara zilizopo katika nchi hizo mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji leo tarehe 21 Septemba, 2022. Rais Samia ametaka ushirikiano wa ulinzi baina ya nchi hizi mbili hasa ule wa mipaka ulio anzishwa tangu miaka ya 1980 uendelezwe hasa kwenye kipindi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba taarifa rasmi kama Wananchi wa Kunduchi tunatakiwa kupisha mradi wa Mwendokasi

    Dear Serikali, kuna tetesi kuwa wananchi wako wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi. Tatizo wananchi hatujawekwa wazi kuhusu huo mradi. Taarifa zinakuja kienyeji. Mfano mimi jana ndo mjumbe ananipigia simu kunieleza kwamba watu wa kuthaminisha maeneo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Taarifa: Nini Nafasi ya Watunga Sera, Mahakama na Asasi za Kiraia?

    NAFASI YA WATUNGA SERA: 1) Kujenga uelewa kwa Umma juu ya Haki ya Faragha na Ulinzi Wa Taarifa 2) Kushirikiana kwa karibu na Wadau wengine kuhusu Masuala ya Kulinda Taarifa 3) Kutengeneza Mifumo ya Kulinda Taarifa kulingana na Sheria na Viwango vya Kimataifa vya Haki Za Binadamu ASASI ZA...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu ana Haki ya kupata Ulinzi wa Taarifa zake

    Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu. Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha...
  8. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na taarifa za mitandaoni

    Matumizi ya mitandao ya kijamii inazidi kuongezeka kila siku na usipokuwa makini utaishia kuamini taarifa za uongo kila siku. Leo tumeona Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akikanusha taarifa za kwamba serikali imeunda kamati ya watu 200 kupitia tozo na kusema kwamba si kweli kwani...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujapokea taarifa rasmi kuhusu ufugaji hatarishi wa kuku Broila

    Serikali imethibitisha kutopokea taarifa rasmi ya utafiti unaoonesha wafugaji wa kuku wanatumia dawa za antibayotiki na hivyo kiasi kikubwa cha dawa hizo kuonekana kwenye maini, kisha kuwa na madhara kwa watumiaji wa kitoweo hicho kwa kusababisha usugu wa vimelea vya dawa. Waziri wa Mifugo na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utitiri na uholela wa ufungaji wa ‘cctv’ katika maeneo mbalimbali unavyohatarisha haki ya faragha ya taarifa za watu

    Suala la ulinzi binafsi ni jambo muhimu sana linalopaswa kupewa kipaumbele cha juu kwenye mtiririko wa Mahitaji ya binadamu katika kipindi hiki ili kujilinda na/au kuepukana na vitendo mbalimbali vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikitokea katika jamii zetu kama vile ujambazi, uvamizi, ukatili na...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Google na Meta zapigwa faini kwa kuuza taarifa binafsi za watu kwa matangazo

    Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Twitter yashutumiwa kupotosha kuhusu ulinzi wa taarifa za watumiaji

    Akitoa ushahidi wake mbele ya Bunge la Marekani, Mkuu wa zamani wa usalama wa mtandao huo, Peiter Zatko amesema data za watumiaji hazijalindwa vya kutosha na kwamba wafanyakazi takriban 4000 wanaweza kuzipata. Amezitaja taarifa za mtumiaji ambazo Twitter haijaziweka salama kuwa ni namba ya...
  14. polokwane

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwanini huduma ya taarifa za pesa kuingia au kutolewa kwe bank account imeondolewa

    Ile huduma imetolewa huenda sababu ikawa makato na tozo za wizi kwenye account zetu yaani ukichukua bank statement ndio utajua serikali hii imeamua kuchukua pesa za wananchi kwenye account zao isivyo halali Ili kuficha hilo waibe kiwepesi wameamua kuondoa huduma ile haipo sasa, hivyo kwa sasa...
  15. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hivi Waziri wa Fedha ana taarifa bei za vyakula hazishikiki huko masokoni?

    Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa. Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa. Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kukosekana kwa umeme kwenye baadhi ya mikoa Nchini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kukosekana kwa huduma ya umeme kulikosababishwa na upungufu wa kina cha maji kwenye vyanzo vyetu vya Kihansi na Pangani pamoja na hitilafu iliyotokea kwenye vituo vya Kinyerezi I na Songas leo, Jumanne, Septemba 13, 2022. Hitilafu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane

    Siku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali Kubehave kama genge la wachawi!. Sisi tunajua kuwa mida hiyo wananchi wengi wanakuwa wamelala na hata...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la ajira nchini ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji haya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Bilioni 55.57 kujenga nyumba za walimu kwenye maeneo yasiyo fikika kirahisi

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ameelezea mafaniko ya Serikali ya awamu ya sita katika kwenye kada ya elumu ambapo amesema mwaka 2021/22 walimu wapya 24749 wameajiriwa huku malimbikizo ya mishahara pamoja na ulipaji wa pesa za pensheni kwa wastafu vikifanyika kwa wakati. Pamoja na...
Back
Top Bottom