Intaneti ina nafasi muhimu katika kuwawezesha Watu wenye Ulemavu kufurahia Haki ya Kupata Taarifa

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Asilimia kubwa ya Watu wenye Ulemavu bado wapo nje ya Mitandao kwasababu wanashindwa kumudu gharama na kukosa Miundombinu ya kuwasaidia kutumia Vifaa vya Kidigitali.

Hatua zinatakiwa kuchukuliwa kuhakikisha wanaweza kumudu na kufikiwa na Intaneti. Pia ni muhimu kuimarisha Matumizi ya Teknolojia Saidizi (Assistive Technology) ili kuongeza Ushiriki wao Kidigitali

Watu wenye Ulemavu Nchini Tanzania wanakumbana na vikwazo mbalimbali katika Kupata Taarifa, kulingana na aina ya Ulemavu walionao

Tafiti zinaonesha wengi hawapati Taarifa kutokana na kukosa Kifaa cha Kidigitali, Intaneti au Chanzo cha Taarifa kinachokidhi mahitaji (Mfano: Lugha za Alama)

Tanzania ina Mfumo mpana wa Kisheria na Kisera kuhusu Haki za Watu wenye Ulemavu ikiwemo katika Kupata Taarifa

Hata hivyo, Tafiti zinaonesha wengi hawana Uelewa mpana kuhusu Sera zinazolenga kuwawekea Mazingira mazuri zaidi ya kufikiwa na Taarifa

Ni muhimu kuwepo Mikakati ya kutoa Elimu na kukuza Uelewa kwani Kupata Taarifa ni Haki ya kila Mtu

=======

PWDs access to internet in Tanzania

There is no enough information covering PWDs access to internet and information in Tanzania. However, the research observation suggests that majority of PWDs compared to other population do not have access to internet hence low access to information. This is caused by number of reasons including; high cost of internet that cannot be afforded by majority of PWDs due to their poor income, poor infrastructure to support PWDs access to internet etc.

As of December, 2019 there were 25.7 million internet users in Tanzania, representing a penetration of 46%. Seven registered telecommunication companies operate in Tanzania which are; Airtel, Halotel, Vodacom, Tigo and Zantel (merged), TTCL and Smart (rebranded from Benson).

Of the 47.7 million voice telecom subscriptions, Vodacom had the largest number of mobile subscribers at 15.6 million, followed by Airtel (12.7 million), and Tigo (12.5 million) . Regarding the price of internet, one (1) Gigabyte of mobile internet in Tanzania cost on average 0.71 U.S. dollars in 2022. Out of 60 plans measured in the country, the lowest price observed was 0.36 U.S. dollars per 1GB for a 30 days plan

Though Tanzania is ranked among the 10 cheapest for mobile data in Africa, majority of its poor population cannot afford the high cost of internet, this is worse to PWDs group which is more vulnerable due to low purchasing power (poor income), less knowledge of internet use and other related factors affecting PWDs such as unsupportive internet infrastructures for PWDs.

Source: Access to Information: Challenges and Opportunities for People with Disability in Tanzania (Zaina Foundation)
 

Attachments

  • Full-Research-Report.pdf
    1.1 MB · Views: 2
Back
Top Bottom