taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya Hamisi Kingwangalla kuhoji kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa ni kwa nia ovu, ni vyema ajibiwe

    Hamisi Kingwangala (Mb), Nzega Vijini, amekuwa akitoa maneno yenye nia ya kuchonganisha kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa katika ukurasa wake wa tweeter. Kwa nafasi yake anapowauliza Watanzania kama mabehewa ni ya mtumba? Na kuonyesha tumepigwa bila ushahidi, huku akisema hajayaona mabehewa hayo...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji imemtisha na inamsaka aliyevujisha taarifa ya watalii kusota kisa wao pale KIA

    Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?! Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa. Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Yule anayepiga simu wakati maongezi yanaanza, taarifa ya habari, ibada au mikutano ni kivuruge anayeudhi

    Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza.. Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

    Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo. Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) yagoma kuiomba msamaha Ukraine kwa kuvujisha taarifa za vifo vya askari wake

    Jumuiya ya Ulaya inasema tayari imetoa ufafanuzi wa taarifa hiyo. Jumuiya ya Umoja wa Ulaya inasema "hakuna haja ya kuomba msamaha" kwa Ukraine kwa kauli ambayo sasa imefutwa iliyotolewa na rais wake, Ursula Von Der Leyen, ambaye alidai kuwa wanajeshi wapatao 100,000 wa Ukraine wamepoteza...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Shukran kwa wote mnaotupenyezea nyaraka na taarifa za siri za ubadhilifu na zimefanyiwa kazi

    Habari za Majukumu wapendwa! Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini! Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja kuziainisha popote kwa kulinda siri za watoa habari, uzuri hizo nyaraka na kumbe za siri...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Taasisi za afya zitekeleze utunzaji salama wa taarifa za wagonjwa

    Taarifa za matibabu ni miongoni mwa nyaraka nyeti zaidi kwa mtu yeyote. Kuweka salama taarifa za mgonjwa ni sehemu muhimu ya kudumisha uaminifu wa mgonjwa, na pia kulinda utu na heshima yake. Katika mlolongo wa kupata matibabu wakati fulani mgonjwa analazimika kufichua taarifa zake binafsi...
  8. tamsana

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya precision kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Air Bulletin Accident)

    Shujaa Majaliwa hatajwi kwenye report hiyo. Jisomee mwenyewe.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yakanusha taarifa ya mabehewa ya SGR kuzuiwa Nchini Ujerumani

    Pia soma: Fedha zetu matopeni tena?
  10. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Kanusho la kuzuiwa behewa za SGR Ujerumani

    TAARIFA KWA UMMA - KANUSHO LA KUZUIWA KWA BEHEWA ZA SGR UJERUMANI Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna taarifa Qatar waliwahonga wachezaji 8 wa Ecuador mabilioni ya pesa!

    Nimesoma mahali kwamba Qatar iliwahonga wachezaji 8 wa ecuador mabilion ya pesa ili washinde mechi yao ya ufunguzi. Inasemekana huo mchezo ulishtukiwa na mashushu na wachezaji hao 8 hawatacheza mechi ya leo!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Toeni taarifa dosari za mahakama zitatuliwe

    Ameyasema juzi katia ufunguzi wa majengo ya Mahakama huko Same/Mwanga. Kweli Mh. Jaji Mkuu, hujui dosari za mahakama zako? Hilo ulilolisema linatoka rohoni au unajikosha? watu wanaozea jela kwa kuonewa hasa wafuasi wa Chadema, nalo hulijui? La "wabunge" 19 wa mchongo nalo hulijui? Unaona...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  14. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Ajali ya ndege Precision Air/Tuna imani na watoa taarifa?

    Edward Snowden, mtaalamu wa Kompyuta na wakala wa zamani wa shirika la usalama wa taifa Marekani, NSA. Alipamba vichwa vya habari ulimwenguni baada ya kufichua udukuzi mkubwa unaofanywa na NSA duniani kote..huku akitajwa kuwa ni shujaa, msaliti, mzalendo na muasi. Aliamua kuweka ukweli...
  15. Phobia

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kuhusu PREP"pre exposure prophylaxis"

    Shalom 1. Prep nini? Ni dawa ya kutumia ili kujikinga na ma'am ukizingatia ya virusi vya ukimwi kwa watu ambao bado hawajaambukizwa na wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vvu. 2. Nani wanufaika wa prep? Prep inapaswa kutumiwa...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai. Waziri mkuu amesema...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina (mb), akichangia kuhusu taarifa za kamati za kudumu za bunge za PAC, LAAC na PIC

    1. UTANGULIZI Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya Mwaka 2008 inayofafanua...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wabunge: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iitwe Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa binafsi wametoa hoja zao huku wengi wao wakionekana kuunga mkono kuundwa kwa sheria hiyo. Aidha katika kuongeza nguvu hoja Wabunge wengi wanaonesha kwamba ni muhimu katika uundaji wa sheria hiyo...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 unasomwa kwa mara ya pili Bungeni

    Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
  20. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya taarifa za BBC zinakera. Huenda ni mkakari mbaya wa waingereza

    Kwa wale wenye mazoea kusikiliza bbc kiswahili utagundua pamoja na taarifa sahihi ziko taarifa nyingine ni kwa malengo maalum. Kuna upendeleo dhidi kwa namna mambo ya kisiasa na kitamaduni wa nchi zinazoandamwa na uingereza na nchi za magharibi kwa ujumla. Pia mara nyingi zipo taarifa hazina...
Back
Top Bottom