taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Bilioni 55.57 kujenga nyumba za walimu kwenye maeneo yasiyo fikika kirahisi

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ameelezea mafaniko ya Serikali ya awamu ya sita katika kwenye kada ya elumu ambapo amesema mwaka 2021/22 walimu wapya 24749 wameajiriwa huku malimbikizo ya mishahara pamoja na ulipaji wa pesa za pensheni kwa wastafu vikifanyika kwa wakati. Pamoja na...
  3. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Msaada Natafuta kazi NHIF Data clark. Karani wa kuingiza taarifa za NHIF

    Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF. Naweza kufanya member authorization. Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika. Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF. Nina ujuzi wa kutumia computer. Sikusoma...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asisitiza uadilifu kwenye Ujenzi wa Mji wa Serikali

    Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Waziri Mkuu Asisitiza Uadilifu Ujenzi Mji wa Serikali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Ufahamu Ugonjwa wa Polio

    Unasababishwa na Kirusi cha Polio kinachoambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mwingine kwa kunywa/kula chakula au kinywaji kilichochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya Ugonjwa. Virusi huzaliana katika utumbo na huweza kuathiri mfumo wa fahamu ikiwa ni pamoja na viungo kupooza...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua dhidi ya TAKUKURU; Wanatumia taarifa za rushwa kwa manufaa binafsi

    Ukiangalia mtandao wa TAKUKURU kuna njia nyingi za mawasiliano ambazo wanazitaja kama njia mojawapo ya kutoa taarifa za siri kuhusiana na rushwa/ufisadi. Tumefanya majaribio tukiwa watu watatu kwa kuwapa taarifa tofauti nne; tatu zikieleza matatizo ya rushwa ktk idara za serikali na moja ndani...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: "Tunakamilisha mchakato wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi"

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia amethibitisha kuwa Serikali inakamilisha mchakato wa utungwaji wa Sheria hiyo itakayolinda taarifa binafsi za watu. Kauli ya Nape inakuja wakati kukiwa na madai mengi ya sheria hiyo kutoka kwa watu binafsi na taasisi ikiwemo JamiiForums ambayo imekuwa...
  8. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kulinda taarifa zetu na faragha ipo wapi?

    Baada ya kupita katika zoezi hili la sensa ya makazi na watu 2022 na kuona namna taarifa nyingi nyingi sana zinakusanywa kupitia maswali yanayoulizwa na karani, kwa kweli nimepata ukakasi na kujiuliza maswali mengi juu ya uhakika wa ulinzi na usalama wa mambo niliyoyaweka wazi “kwa nia njema...
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mahakama Kuu yamruhusu Odinga kukagua mifumo ya kuhifadhi taarifa za Uchaguzi ya IEBC

    Mahakama Kuu imeamuru Tume ya Uchaguzi IEBC kumpa Mgombea Urais Raila Odinga idhini ya kuzipitia na kuangalia Server zote za Kituo cha Taifa cha Kujumlisha Kura za Uchaguzi Mkuu. Pia Mahakama iliagiza Tume kumpa masanduku ya Kura kutoka vituo mbalimbali yafunguliwe kwa ajili ya ukaguzi...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Mpaka sasa hakuna Sheria wala Utaratibu rasmi wa kulinda taarifa binafsi za Watanzania

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo akiwa East Africa Radio asubuhi hii, 30 Agosti, 2022. === Amesema kuwa JamiiForums imeandaa muswada wa mfano ambao imeupeleka Serikalini pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria ili kutoa mapendekezo ya nini kifanyike katika kuhakikisha kuwa taarifa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Airtel mtandao ovyo tangu jana hakuna hata taarifa rasmi wala apology

    Watu hawa hawaheshimu wanuka jasho kabisa. Huduma hovyo, mabando ghali (kwa wale wasiojua vpn) wanafanya wanavyojisikia sababu wnajuaa nape nnauye atawatetea kwa lolote lile keshakuwa msemaji wao. Tangu jana hadi sasa hivi connection ya airtel ni tiatia maji na wamenyamaza kimyaaa ukipiga...
  13. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari mkoa wa Mara hawatoi taarifa za matukio mengi kwa wakati! Sababu ni nini?

    Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa. Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari kata ya masaba, wolaya ya Butiama ila hadi leo hakuna taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtataalamu wa kutengeneza QR Code zenye taarifa zote muhimu

    Namhitaji mtaalamu ambae nitafanya nae kazi, nitamlipa kwa kila QR Code moja atakayokuwa anaitengeneza. Tafadhali nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally tafadhali kama huna Taarifa za Kutosha kuhusu Ujio wa Manzoki acha Kututamanisha nae Mitandaoni Kwako

    Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote. Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au...
  16. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maji: Ushiriki wa jamii, uendeshaji na uibuaji wa miradi ya maji, utoaji taarifa na changamoto za utendaji na utatuzi

    Utangulizi. Tangu uwepo wa ulimwengu huu maji ni kimiminika ambacho kimekuwepo na kusaidia shughuli mbalimbali za uendeshaji na ujenzi wa ulimwengu tangu ikiwa tupu hadi sasa katika zama za sayansi na teknolojia iliyokubuhu (Post-science and technology society).Maji hayana mbadala,na wengine...
  17. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha: Usimpige Picha wala kumchukua Video karani wa Sensa bila ridhaa yake

    Wakati zoezi la Sensa ya Watu na Makazi likiendelea, ni vema kukumbushana kuwa Faragha ya Mtanzania yeyote, akiwemo Karani wa Sensa, ni kitu muhimu sana katika nyakati hizi Picha na Video za Makarani zimekuwa zikisambazwa mitandaoni hivyo, tungependa kuukumbusha umma kuwa suala la faragha na...
  18. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Matukio, vituko, shuhuda na taarifa zoezi la sensa!

    Nawasalimia kwa jina la Tanzania. Bila shaka kila mdau anaelewa zoezi la sensa kama aina ya utafiti ilivyo ni nyeti na lina makorokoro mengi hadi ya kiimani. Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kushirikishana kabla, wakati na baada ya zoezi. Binafs niliwai kushiriki utafiti mkubwa kuhusu watu...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Taarifa ikufikie kuwa Chelsea wanataka kumsajili Harry Maguire

    Chelsea wanataka kufanya usajili unaotajwa kuwa unaweza kuwa wa kushtua baada ya kudaiwa wanamtaka Harry Maguire wa Manchester United. Chelsea wanataka wamsajili beki huyo katika dili la kubadilishana wachezaji ili wao wamruhusu Christian Pulisic kwenda #ManUnited. Maguire amekuwa akilaumiwa...
  20. Diversity

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

    Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaji mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi Machi 2023. Nchi zetu hususan Tanzania...
Back
Top Bottom