Nieleweshe tafadhali: Mikutano ya hadhara ya kisiasa unaomba kibali polisi au unatoa taarifa tu polisi?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,403
74,019
Kwa tamko la Rais, ili kufanya mkutano wa hadhara wa siasa, utalazimika kuomba kibali cha polisi au unatoa taarifa tu na unakwenda jukwaani kufanya mkutano wako?

MY observation: Kama kuna kuomba kibali, basi tatizo bado liko pale pale! Polis kwa mazoea yao ya chuki za upinzani, hawatatoa vibali, wataleta visingizio vingi ili waukwamishe upinzani.
 
Back
Top Bottom