Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 876
- 4,101
Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi.
Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari?
Wameripoti mitandaoni? Kama awajafanya hivyo kwenye taarifa ya habari, tunaamini mfumo unasema na kutenda kile kinachowatoka midomoni?
Kama kama wameripoti kwa kiasi gani? Imetoka moyoni au ndo Bora iende?