swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
  2. JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hapa namaanisha nini, duniani kote ambako miradi ya namna hii yenye lengo la kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini lazima kuwepo na malalamiko. Tena nimefuatilia kwa umakini na kufahamu kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake, kwanini mnavaa nguo za kubana?

    Kwanini mmeamua kuvaa nguo za kubana tu?! Ndilo dukuduku langu. Si wake za watu, si mabinti, si wasichana wadogo si watoto wadogo wakike! si gauni, si blauz, si sketi, si suruali! Si kanisani, si kazini, si mtaani, si mjini si kwenye sherehe! jambo moja kwenu linafanana, NGUO ZA KUWACHORA! na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaweza kukulazimisha kujibu swali lolote bila kujali kiapo ulichokula cha kulinda siri

    Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila...
  5. JamiiForums Tanzania Jamaa kauliza swali la kufikirisha kuhusu Safina ya Nuhu.

    Story ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina. Swali? Simba Na suala wanaweza kukaa sehemu moja hata kwa lsaa moja Tu achilia Mbali mwezi mzima? Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani? Vipi kuhusu Wanyama wadogo...
  6. JamiiForums Tanzania Swali gumu sana kwenye mahusiano mapenzini

  7. K

    JamiiForums Tanzania Diaspora anawezaje kununua Bond/T-bill za Benki Kuu ya Tanzania?

    Swali ni jinsi gani diaspora anaweza kununua Bond/T-bill za bank kuu ya Tanzania? Nimetafuta kwa mitandao sijapata jibu
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke asiye jirekebisha utaishi naye vipi?

    Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lakini akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll. Utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni...
  9. JamiiForums Tanzania Swali la kizushi; Kwa nini umtendee mwenzako mabaya?

    Kama miaka 10 iliyopita hivi nilipata safari ya kikazi kwenda huko mbali kwa muda wa miezi sita. Kwa sababu ndoa yangu ilikuwa bado ni changa, nikaona nimtafutie majukumu mazito mama watoto wangu ili nitakapokuwa huko nje, asiweze kushawishika na mabaharia wa mjini. Nikampa kazi ya kwenda...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna 'Foreigner' Mmoja kaniuliza hili Swali, ila nimeshindwa Kumjibu lakini najua nyie 'Great Thinkers' mtamjibu vyema ili 'nimtafsirie' hapa tulipo

    GENTAMYCINE hivi ni kwanini Siku hizi hapa Kwenu nchini Tanzania kila kukiwa tu na Shughuli ya Kitaifa Uhuru au Muungano au Mapinduzi mnapenda mno Kuwaonyesha Makomandoo wenu wakifanya Mambo ya Kimedani? Hii ina faida gani hasa kwa Watanzania wengi wasio na uhakika wa hata Maisha yao na...
  11. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Tumeacha kutekeleza maendeleo kwa kutumia pesa zitokanazo na mapato na tozo na sasa tumerudi kwenye mikopo?

    Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa. Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi? Je tumeamua...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa mkurugenzi wa HESLB ndugu Badru

    Mpaka kufikia leo January 9/2022 baadhi ya wanachuo hawajapewa mikopo tangia wamefungua vyuo yani wengine wanakaribia kusaini awamu ya pili wapewe fedha,wengine walisha saini ila hawajapewa fedha zao za awamu ya kwanza mpaka sasa. Je wewe mzee unataka nini hasa kwa watoto wa wanaume wenzio? Je...
  13. JamiiForums Tanzania Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

    Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi). Taarifa ya Katibu wa Bunge...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Swali! Hivi unapofariki inakuwa umeiaga dunia au dunia ndo imekuaga?

    Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia...
  15. JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini viongozi wa Kiafrika mara nyingi ni vigumu kujiuzulu kwa hiari?

    Habari! Naomba majibu mafupimafupi. Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa? Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu simu ya Infinix

    Habari wadau wa humu jukwaani. Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery yake kuna Private folder la picha,anadai amesahau Password na akitaka pia kulifuta hawezi. Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Swali kuhusu viwanja vinavyouzwa na halmashauri zetu.

    Imagine umenunua kiwanja mwezi wa sita na hujamaliza kukilipia na kwenye barua yao wametia mkwala usipomaliza mpaka baada ya miezi kadhaa wanakiuza je inawezekana? Na unatakiwa ufanyaje Ili kuweka zuio? Au ni bit tu?
  18. JamiiForums Tanzania Kama mke ndiyo kikwazo cha kufikia matarajio, utaachana naye kama utakavyofanya kwa watu wengine wa karibu?

    Kuna mafundisho mengi tunayapata kuwa ili ufanikiwe watu wanaokuzunguka lazima wawe na mchango mkubwa wa kukupa mtazamo chanya juu ya jambo unaloelekea kulifanya au unalolifanya. Hapa nazungumzia mchango wa kimawazo na hata kama ikiwezekana kifedha, na inashauriwa kama hao watu wako wa karibu...
  19. JamiiForums Tanzania Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalam wa vyombo vya moto

    Hivi engine Oil, Diezel/Petrol ukiachilia mbali milage, Ina Expiry date?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…