Swali! Hivi unapofariki inakuwa umeiaga dunia au dunia ndo imekuaga?

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia ndo inatuaga.

Au mnasemaje.
 
Hicho kiingereza tufafanulie waswahili " is too theoretical and vacuum ";
ulikuwa unamaanisha nini.
 
Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia ndo inatuaga.

Au mnasemaje.
Anayeondoka ndo huwa anaaga.. Hivyo ukifa unakuwa umeiaga duni
 
Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia ndo inatuaga.

Au mnasemaje.
Kauli ina miaka 60 hii ujue
 
Madhara Ya Tozo
 
Mods mmesinzia; pelekeni hii kitu kwenye jukwaa sahihi; ni issue ya lugha tu; pelekeni kule. Moderator
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom