swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa ukiulizwa na mpenzi wako swali hili majibu haya hapa

  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali: Haya mafuta yaliyopanda bei yameingia lini nchini?

    Nina maswali ambayo nimeyawaza baada ya ku smell kitu. Ni kama vile wasimamizi wa nishati na mafuta kama wanafanya biashara ya mafuta hivyo wanajiimarisha kiuchumi. Swali 1. Haya mafuta yaliyoanza kuuzwa leo kwa bei ya juu yameingia lini nchini? Swali 2. Mafuta yale ya bei ya zamani yameishia...
  3. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu la Wiki: Yote Sawa? Mapenzi ya Kinafiki au Heshima ya Woga?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui lipi ni bora katika siasa au yote ni sawa tu? Yaani, unamheshimu mtu si kwa sababu anastahili heshima hiyo bali kwa vile unamuogopa. Unaogopa huyo mtu atakufanya nini. Unajitahidi kumfurahisha kwa sababu hutaki achukie au akushukie. Akinuna unaweweseka. Unajua...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili Swali nimeliona katika Moja ya 'Past Papers' ya Somo la 'Political Science' naomba tusaidiane katika Kulijibu tafadhali....

    Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga...
  5. N

    JamiiForums Tanzania "What is your salary expectation?"ni moja ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri

    Moja kati ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri ni "What is your salary expectation ?" Huwa najiuliza kwanini mwajiri aniulize hivi wakati tayari ana scale yake kashaiandaa kwa position husika Ni ngumu sana kumshawishi mwajiri aliepanga kukulipa 1,000,000 basic salary kisha akulipe...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA ya sasa ndio ina vijana wa namna hii basi kazi ipo!

    Mwanasiasiasa nguli na muhimu sana ndani ya Bavicha, Hilda Newton anaomba ajibiwe swali lake, hakika CHADEMA ina watu smart sana
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Swali; Baba huwa anarithisha size ya uume wake kwa mtoto?

    Naombeni msaada wenu watu mliosomea na kuelewa mambo ya Biology hasa kwenye ile topic ya Genes. Nimekuwa na hili swali kwa mda mrefu bila jibu, Size ya uume wa mtoto inatoka kwa baba yake au ni independent? Binafsi nina watoto wavulana wawili nimeona wamefanana na mimi size yangu ya utotoni...
  8. Pist_Sr

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini uwepo wa Mungu, usiipite hii!

    Hello! Kuna jibu huwa najibiwa sana na washika-dini kila ninapowauliza kwanini wao wanaamini uwepo wa Mungu. They are like, "Unaamini uchawi upo?" Nikimjibu, anakuja na hii, "Kama unaamini uchawi upo, kwanini huamini Mungu yupo?". Yaani hapo huwa wana nadharia yao kuwa, everything is two...
  9. ANT DRUGS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

    Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi. Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo: 1. Huyu kweli anaweza kuniroga? 2. Hili...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Swali la Ufahamu

    Dan 6:16 SUV Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danieli, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya. Luka 16:19-31 BHN “Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

    Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single . Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim . Je. wewe unaweza tishia?
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

    Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa. lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion Research question: Could this death be prevented? Remember: Prevention is better than treatment!!
  13. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Swali: Kama Mbowe na wenzake wamekutwa na kesi ya kujibu, nafasi ya kujitetea ni kuomba adhabu ipunguzwe?

    Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza. Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne. Maana yake ni kuwa hatia imeonekana. Je, wanapaswa kujitetea adhabu ipunguzwe ama wafutiwe makosa? Je...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
  15. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hapa namaanisha nini, duniani kote ambako miradi ya namna hii yenye lengo la kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini lazima kuwepo na malalamiko. Tena nimefuatilia kwa umakini na kufahamu kwamba...
  16. Mzee23

    JamiiForums Tanzania Wanawake, kwanini mnavaa nguo za kubana?

    Kwanini mmeamua kuvaa nguo za kubana tu?! Ndilo dukuduku langu. Si wake za watu, si mabinti, si wasichana wadogo si watoto wadogo wakike! si gauni, si blauz, si sketi, si suruali! Si kanisani, si kazini, si mtaani, si mjini si kwenye sherehe! jambo moja kwenu linafanana, NGUO ZA KUWACHORA! na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaweza kukulazimisha kujibu swali lolote bila kujali kiapo ulichokula cha kulinda siri

    Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jamaa kauliza swali la kufikirisha kuhusu Safina ya Nuhu.

    Story ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina. Swali? Simba Na suala wanaweza kukaa sehemu moja hata kwa lsaa moja Tu achilia Mbali mwezi mzima? Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani? Vipi kuhusu Wanyama wadogo...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Swali gumu sana kwenye mahusiano mapenzini

  20. K

    JamiiForums Tanzania Diaspora anawezaje kununua Bond/T-bill za Benki Kuu ya Tanzania?

    Swali ni jinsi gani diaspora anaweza kununua Bond/T-bill za bank kuu ya Tanzania? Nimetafuta kwa mitandao sijapata jibu
Back
Top Bottom