Kama mke ndiyo kikwazo cha kufikia matarajio, utaachana naye kama utakavyofanya kwa watu wengine wa karibu?

mbuyake

Senior Member
Feb 20, 2013
190
236
Kuna mafundisho mengi tunayapata kuwa ili ufanikiwe watu wanaokuzunguka lazima wawe na mchango mkubwa wa kukupa mtazamo chanya juu ya jambo unaloelekea kulifanya au unalolifanya.

Hapa nazungumzia mchango wa kimawazo na hata kama ikiwezekana kifedha, na inashauriwa kama hao watu wako wa karibu ukiwaona ni kikwazo kufikia malengo yako basi kama kuna ulazima wa kuachana nao fanya hivyo.

Swali langu ni hivi: mke wako ni sehemu ya watu wa karibu wanaokuzunguka na ni muhimu kwa mwanaume ili afanikiwe juwa kuna mchango wa mke, sasa kama mke unamwona ndo kikwazo chako cha kufikia matarajio nae utaachana nae kama utavyofanya kwa watu wengine wako wa karibu?
 
Chap sana. Huyo ni agent wa kuzimu. Ndoa inapaswa kuwa chachu muhimu sana ya ustawi wa binadamu na si vinginevyo.
 
Kuna mafundisho mengi tunayapata kuwa ili ufanikiwe watu wanaokuzunguka lazima wawe na mchango mkubwa wa kukupa mtazamo chanya juu ya jambo unaloelekea kulifanya au unalolifanya.

Hapa nazungumzia mchango wa kimawazo na hata kama ikiwezekana kifedha, na inashauriwa kama hao watu wako wa karibu ukiwaona ni kikwazo kufikia malengo yako basi kama kuna ulazima wa kuachana nao fanya hivyo.

Swali langu ni hivi: mke wako ni sehemu ya watu wa karibu wanaokuzunguka na ni muhimu kwa mwanaume ili afanikiwe juwa kuna mchango wa mke, sasa kama mke unamwona ndo kikwazo chako cha kufikia matarajio nae utaachana nae kama utavyofanya kwa watu wengine wako wa karibu?
Oa mke wa pili wa kukupa challenge na mchango positive kufikia malengo unayotarajia.
 
sasa napo kupiga chini ni gharama,maana itakulizimu kugawana pale ulipofika yaani hata kamtaji nako mpige pasu je ni bora kutumia njia ambayo ambayo itakulazimu kuvumilia lawama zake ili ufikie lengo faida zake ataziona baadae au umpige chini mpige pasu halafu pasu ya mali then uanze upya na mwingine?
 
Chase your dream mkuu,,

Hata kama ni mzazi ndio kikwazo,,achana nae...sio tu mke..
 
Back
Top Bottom