Swali fikirishi: Tumeacha kutekeleza maendeleo kwa kutumia pesa zitokanazo na mapato na tozo na sasa tumerudi kwenye mikopo?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa.

Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi?

Je tumeamua kutumia mikopo ili kufanikisha maendeleo haraka? Na kwa nini mikopo?
 
2656558_102011131.jpg
 
Tanzania ni donor country
1.Tumejenga miradi kwa pesa zetu za ndani
2.tumenunua ndege kwa pesa zetu za ndani

Afie tena huko aliko
 
Back
Top Bottom