swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Izrael k Adam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke asiye jirekebisha utaishi naye vipi?

    Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lakini akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll. Utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni...
  2. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la kizushi; Kwa nini umtendee mwenzako mabaya?

    Kama miaka 10 iliyopita hivi nilipata safari ya kikazi kwenda huko mbali kwa muda wa miezi sita. Kwa sababu ndoa yangu ilikuwa bado ni changa, nikaona nimtafutie majukumu mazito mama watoto wangu ili nitakapokuwa huko nje, asiweze kushawishika na mabaharia wa mjini. Nikampa kazi ya kwenda...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna 'Foreigner' Mmoja kaniuliza hili Swali, ila nimeshindwa Kumjibu lakini najua nyie 'Great Thinkers' mtamjibu vyema ili 'nimtafsirie' hapa tulipo

    GENTAMYCINE hivi ni kwanini Siku hizi hapa Kwenu nchini Tanzania kila kukiwa tu na Shughuli ya Kitaifa Uhuru au Muungano au Mapinduzi mnapenda mno Kuwaonyesha Makomandoo wenu wakifanya Mambo ya Kimedani? Hii ina faida gani hasa kwa Watanzania wengi wasio na uhakika wa hata Maisha yao na...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Tumeacha kutekeleza maendeleo kwa kutumia pesa zitokanazo na mapato na tozo na sasa tumerudi kwenye mikopo?

    Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa. Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi? Je tumeamua...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa mkurugenzi wa HESLB ndugu Badru

    Mpaka kufikia leo January 9/2022 baadhi ya wanachuo hawajapewa mikopo tangia wamefungua vyuo yani wengine wanakaribia kusaini awamu ya pili wapewe fedha,wengine walisha saini ila hawajapewa fedha zao za awamu ya kwanza mpaka sasa. Je wewe mzee unataka nini hasa kwa watoto wa wanaume wenzio? Je...
  6. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

    Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi). Taarifa ya Katibu wa Bunge...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Swali! Hivi unapofariki inakuwa umeiaga dunia au dunia ndo imekuaga?

    Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini viongozi wa Kiafrika mara nyingi ni vigumu kujiuzulu kwa hiari?

    Habari! Naomba majibu mafupimafupi. Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa? Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu simu ya Infinix

    Habari wadau wa humu jukwaani. Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery yake kuna Private folder la picha,anadai amesahau Password na akitaka pia kulifuta hawezi. Sasa...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu viwanja vinavyouzwa na halmashauri zetu.

    Imagine umenunua kiwanja mwezi wa sita na hujamaliza kukilipia na kwenye barua yao wametia mkwala usipomaliza mpaka baada ya miezi kadhaa wanakiuza je inawezekana? Na unatakiwa ufanyaje Ili kuweka zuio? Au ni bit tu?
  11. mbuyake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mke ndiyo kikwazo cha kufikia matarajio, utaachana naye kama utakavyofanya kwa watu wengine wa karibu?

    Kuna mafundisho mengi tunayapata kuwa ili ufanikiwe watu wanaokuzunguka lazima wawe na mchango mkubwa wa kukupa mtazamo chanya juu ya jambo unaloelekea kulifanya au unalolifanya. Hapa nazungumzia mchango wa kimawazo na hata kama ikiwezekana kifedha, na inashauriwa kama hao watu wako wa karibu...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalam wa vyombo vya moto

    Hivi engine Oil, Diezel/Petrol ukiachilia mbali milage, Ina Expiry date?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Swali: Je ni kitu gani ambacho familia au wazazi wako hawajui kukuhusu

    Hi guys, Mambo vipi? Mada inajieleza. From other social network. Binafsi hawajui kuwa nasota kiasi cha kutaka kurudisha mpira kwa beki. Aha Twende kazi na wengine.
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Raisi akiulizwa swali lolote la kesi iliyoko mahakamani akatae kujibu

    Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako akikuuliza swali ili utamjibu nini...

    Mwanangu Wa darasa la 3 kaniuliza swali ili .... Baba, sisi ni watanzania na tumepata uhuru , mbona shuleni tunakatazwa kuongea kiswahili na tunalazimishwa kuongea English tena wameweka na bango NO ENGLISH NO SERVICE...
  17. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

    Ni swali fikirishi kidogo ukiangalia wengi wanaotokea familia maskini wengi huishia kuwa masikini ni wachache sana ambao hutoboa kimaisha. Au ndo tuseme umasikini mtu anaweza kuurithi? Mfano: mawazo ya kimasikini kutoka kwa baba yanaweza kuhamia kwa mtoto kama baba hakuwa na vitega uchumi...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Usindikaji wa gesi ya kupikia Kinyerezi

    Naomba kuuliza, hivi hii mitungi ya gesi ya kupikia gesi yake huwa inatoka Mtwara au huwa tuna-import kutoka nje? Whatever the case, lile bomba kubwa la kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, gesi yake imeshaanza kusindikwa pale Kinyerezi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ya wana Dar-es-salaam? If not...
  19. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Furaha Kwishnei?

    Watu walishangilia na kugongeana bia.. Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo... Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"... Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu". Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi...
  20. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya 'Social Enterprise' kwa Kiswahili

    Hamjambo? Naomba tafsiri ya 'Social Enterprise' kwa Kiswahili fasaha.
Back
Top Bottom