sumu

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Nimekutana na majaribio mawili ya kuuawa wa sumu

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai alikutana na majaribio mawili ya kuuawa kwa njia ya sumu kabla ya kuondolewa katika nafasi ya Naibu Rais na kusema kuwa Rais #WilliamRuto amemsaliti Akizungumza baada ya kutoka Hospitali ya Karen alipokuwa amelazwa amesema “Sihisi kama nipo salama...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani wa Eswatini apewa Sumu

    Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika jaribio la Kumuua Mlungisi Makhanya, (46) ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Afrika Kusini kwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu Sumu ya kicheche

    Naomba kwa anayejua Sumu ya kumuangamiza kicheche anijuze! Maana wananisumbua mno, wanakula mayai saana kwenye Banda la kuku wangu
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wangapi hapa JamiiForums tulikuwa tunamjua huyu Nyoka HATARI asiyeuma, ila anatema Mate yenye Sumu aitwae Fira?

    Mwenye Kamusi mpya kabisa ya maneno mapya ya Kiswahili Fasaha ya TUKI aende katika Ukurasa wa 126 akamjue huyo Nyoka HATARI kabisa aitwa Fira. Nyoka Fira hatari acheni masihara.....!!
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku Ilipodhaniwa Nyerere Kalishwa Sumu

    Katika mambo yaliyotokea yakawatisha waliokuwa wamemzunguka Julius Nyerere ilikuwa siku alipougua ghafla na kudhaniwa kalishwa sumu katika chakula nyumbani kwa Abdulwahid Sykes. Angalia video hiyo hapo chini: https://youtu.be/Wx6imbCTAB8?si=ZsvZBYeYdvthGtAv
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mjusi kafiri akidondokea kwenye chakula ukaila ni sumu kali inayoua mtu

    Wakuu salaam, Kuna mdudu anaitwa Mjusi kafiri, kumekuwa na hoja mbalimbali kwamba mdudu huyo ni hatari na ana sumu kali ikiwa atadondokea kwenye chakula na ukakila. Je kuna ukweli kuhusu hoja hii?
  7. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sumu kutumika kuwaua kunguru kwa Usumbufu na Uharibifu

    Kenya imeanzisha mpango wa kutumia sumu kuua Kunguru Milioni moja katika Miji ya Watamu na Malindi, ili kuzuia wasisambae Jijini Nairobi Kunguru wamekuwa wakishambulia Wanyamapori, kuvamia maeneo ya Watalii, na kuvamia na kushambulia kuku katika Mashamba yao Inaaminika Kunguru waliletwa kwa...
  9. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuondoa sumu ya mwili asubuhi ( Detox)

    Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species). Unapoamka asubuhi andaa hii recipe ambayo nakuwekea hapa; CHEMSHA VIFUATAVYO, Mdalasini, tangawizi , karafuu (...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi vijana acheni drama za kuwekeana sumu kwa lengo la kupata popularity; mwogopeni Mungu msikufuru

    Kinachosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mbunge na RC kupeana sumu siyo jambo linalopaswa kuandikwa na kusambazwa na vijana wa chama cha mapinduzi wa Chadema. Tukianza kutengeneza Drama kama alivyofanya mama tunabomoa umoja wetu kama Taifa, tunaondoa utu wetu na tunafanya watoto kuumizwa...
  11. cold water

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu sumu kweli?

    Niwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaachana kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena...
  12. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Daktari jela kwa kumpa sumu mkewe kusudi ili mimba itoke

    Ilitokea Ohio, marekani, 2000 KWA KIFUPI Ni kwamba, Binti mmoja baada ya kula sana ujana, miaka 33 anaamua kuseto kwa kutafuta mume wa ndoto zake afanye maisha. Vigezo vyake Ni awe mrefu, handsome na professional na anabahatika kupata mchumba daktari na penz lao Moto Moto penzi linaingia...
  13. mmmuhumba

    JamiiForums Tanzania SoC04 Neno tusi ni sumu ya malezi na makuzi ya mtoto wa kike na kiume

    Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mtu mwenye hasira akikung'ata huweza kukuachia sumu itakayokusababishia madhara

    Nimewahi kusikia mtu akikung'ata akiwa na hasira anaweza kukuachia sumu ambayo inaweza kukuathiri, athari hutegemeana na kiwango cha hasira atakachokua nacho. Je, kuna ukweli wowote?
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna taratibu za kufuata ili kununua sumu

    Elimu haina mwisho Leo nilikuwa nasikiliza radio Fulani wakawa wanaeleza taratibu za kuuza na kununua sumu. Kumbe haitakiwi kununua sumu nyingi bila kibali cha mamlaka maana yaweza sababisha madhara Kwa jamii Labda mtu anaweza akawa na nia ovu ya kuua halaiki ya watu na mifugo. Labda kuweka sumu...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Tani 47,000 za mafuta ya kupikia yaliyokwisha muda wake na yenye sumu yamesambazwa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Inadaiwa kuwa jumla ya tani 47,000 za mafuta ya kupikia yasiyokwisha muda wake na yenye sumu toxic yamesambazwa kwa walaji nchini Iran Inadaiwa mafuta hayo ni sehemu ya Tani 91,000 za mafuta zilizoagizwa na nchi hiyo kutokea nchini Argentina na uturuki mwaka 2021. Hadi...
  18. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni kama Uyoga, leo Mboga kesho Sumu

    Narudia yena Kusema Wanawake ni Kama Uyoga leo ni mboga Kesho ni sumu 🥹🥲😰 Ndugu zangu mimi nalala Ila kuweni makini na mapenzi.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mke wa mtu ni sumu na mme wake hafi!?

    Nimekuwa nikijiuliza mda mrefu sana kuhusu hilo tisho eti mke wa mtu ni sumu. Ajabu, mbona mme wa Hugo mke hafi!?
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sumu ya NGE ni sumu ghali kuliko zote hapa duniani

    Inadaiwa kuwa sumu ya nge ndio sumu ya gharama zaidi Duniani ikiuzwa kwa Dola za Kimarekani milioni 39 kwa galoni moja, sawa na Shilingi za Kitanzania bilioni 90. Galoni moja ni takriban lita 4.5 Sumu ya nge inaweza kumsababishia maumivu makubwa mwanadamu ikiwa ataumwa na mdudu huyu, lakini...
Back
Top Bottom