sumu

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Busega: Madai ya Mgodi wa Dhahabu kutiririsha maji yenye sumu kwenye mto lilifanyiwa kazi

    Serikali imezungumzia suala la madai ya Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu kulalamikia changamoto ya Mgodi wa Dhahabu wa EMJ kwamba unamwaga maji yanayodaiwa kuwa na sumu kwenye mto. Mgodi huo ambao unamilikiwa na Mzawa pamoja na raia wa kigeni...
  2. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Nini yatakuwa matokeo kwa mtu ambae atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu?

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana jamii, naomba kuuliza ni nini kitatokea endapo mtu atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu, ukizingatia maziwa huwa tunayatumia kumpa mtu aliye kula sumu kabla ya kumpeleka hospitali kwa matibabu zaidi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Bado Yericko; Huenda kwa sasa kumtetea Mbowe ni hatari zaidi kuliko kulamba sumu kwa ulimi kilichompata Ntobi ni kielelezo cha nguvu halisi ya Lissu

    Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually) Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Serikali itusaidie, Mgodi wa Dhahabu EMJ unatiririsha maji yanayodaiwa kuwa na ‘sumu’ katika mto

    Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu unaitwa EMJ, unamilikiwa na kiongozi mmoja wa CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC) anaitwa Gungu Silanga...
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Sumu kuvu inavyosababisha Saratani ya ini

    Mahindi na karanga ni mojawapo ya mazao muhimu ya chakula. Mazao hayo huweza kushambuliwa na fangasi wanaozalisha sumukuvu ambayo huathiri usalama wa chakula. Sumukuvu ni nini? Sumukuvu ni sumu zinazotokana na aina ya ukungu (fangasi) unaoota zaidi kwenye mazao kama mahindi na karanga. Jinsi...
  6. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Albamu ya Sumu ya Chino Wanaman kweli ni Sumu, dogo anajua

    Wazee wa mziki mzuri tafuten hii albam hamtojutia
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kumbuka sumaye aliwahi kusema kwamba sumu haionjwi kwa ulimi akimaanisha uenyekiti chadema ni sumu

    Kile kiti ni zaidi ya siasa ni channel maalumu ya kufanya money laundering in anyway. Hivyo bora ufe kiti kibaki kwa mwenye nacho
  8. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wasafi wamkaribisha Mzee Mohamed said, amwaga sumu.

    Sina shida ya mzee wetu kukaribishwa, ila ni ile hali yake ya kuamini uhuru wa Tanganyika uliletwa na waislam kwa hiyo ndio wenye haki ya kutawala hapa nchini. kuna hoja moja kuhusu ugomvi wa Bibi Titi na Nyerere ameiongea, interest yangu ni kwenye Agakhan kujenga shule za waislam, kama yupo...
  9. Nyabiri

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuua mzige wanaokula mazao

    Wadudu hawa wameniharibia ekari mbili za zao la mbazi tafadhali anaejua sumu ya wadudu hao anisaidie
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Abdul Nondo amekutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

    Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo...
  11. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Athari za Vipodozi Vyenye Viambato Sumu kwa Watoto

    Katika dunia ya leo, matumizi ya vipodozi ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Hata hivyo, wazazi wengi hawafahamu hatari zinazoweza kusababishwa na viambato sumu vilivyomo kwenye vipodozi hivi, hasa kwa watoto wachanga. Hapa tunaangazia madhara ambayo vipodozi vya kemikali vinaweza kuwa nayo...
  12. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Kaa Mbali Na Watu Ambao ni Sumu Kwako

    Kuna watu ambao hakika ni sumu katika maisha yetu na wanatuua kidogo kidogo bila wenyewe kujua,wanaweza kuwa ni wazazi,ndugu zetu,waume na wake zetu,wafanyakazi wenzetu na watu ambao tunakutana nao kila siku katika maisha yetu Watu hawa watanyonya nguvu yako,na kukuacha hoi bini...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kulikuwa na attempt ya mara tatu ya kumwagiwa tindikali na hilo la sumu liweke tu ndani

    Makonda akijibu swali la Zembwela baada ya kuulizwa uvumi wa kuwa hakuwa likizo ya kawaida bali ilikuwa matibabu… "Kuna kipindi niliokolewa na kiongozi mkubwa kabisa wa chombo kwa kuniambia hapo ulipo chomoka. ilikuwa ni attempt ya mara tatu ya kumwagiwa tindikali, kwa hiyo na hilo la sumu...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Chukua Tahadhari unapopishana na Magari yanayobeba kemikali za sumu ikiwemo ya Sianidi inayotumika kuchenjulia dhahabu

    Wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto wamehimizwa kuwa makini wanapoyapita magari hayo ili kuepuka kuyagonga. Pia wametakiwa kutolisogelea gari lililobeba kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide) pindi linapopata ajali badala yake wachukue tahadhari kwa kukaa umbali wa mita 100 ili kutopata...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ifahamu sumu ya Cyanide inayotumiwa na Majasusi kufanya shambulio

    Cyanide ni kemikali yenye sumu kali inayoweza kusababisha kifo ndani ya muda mfupi baada ya kuvuta, kula, au kugusa. Mara nyingi cyanide hupatikana katika hali ya kimiminika katika fomu ya Hydrogen-cyanide (HCN)ambayo ikiwekwa wazi ubadirika na kuwa Gas, ambayo ukiivuta uwa hatari. Sumu hii pia...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mambo ni mazito! Marioo ahisi Chino alituma watu wamwekee sumu 'Hii chuki imekuwa kubwa sana'

    Saga la Marioo na Chino Kid linaendelea kuchukua sura mpya, huku Marioo akielezea hisia zake kuhusu uhusiano wao wa zamani. Marioo ametaka mashabiki kumuuliza Chino ni wapi alikosea, akisisitiza kuwa alimuonyesha upendo na kumuunga mkono kila wakati. Marioo anasema amekalia kimya matatizo...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Nimekutana na majaribio mawili ya kuuawa wa sumu

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai alikutana na majaribio mawili ya kuuawa kwa njia ya sumu kabla ya kuondolewa katika nafasi ya Naibu Rais na kusema kuwa Rais #WilliamRuto amemsaliti Akizungumza baada ya kutoka Hospitali ya Karen alipokuwa amelazwa amesema “Sihisi kama nipo salama...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani wa Eswatini apewa Sumu

    Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika jaribio la Kumuua Mlungisi Makhanya, (46) ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Afrika Kusini kwa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu Sumu ya kicheche

    Naomba kwa anayejua Sumu ya kumuangamiza kicheche anijuze! Maana wananisumbua mno, wanakula mayai saana kwenye Banda la kuku wangu
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wangapi hapa JamiiForums tulikuwa tunamjua huyu Nyoka HATARI asiyeuma, ila anatema Mate yenye Sumu aitwae Fira?

    Mwenye Kamusi mpya kabisa ya maneno mapya ya Kiswahili Fasaha ya TUKI aende katika Ukurasa wa 126 akamjue huyo Nyoka HATARI kabisa aitwa Fira. Nyoka Fira hatari acheni masihara.....!!
Back
Top Bottom