sumu

  1. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Multiparty democracy ni sumu kwa mataifa masikini hasa ya Kiafrika

    Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa. Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika huu mwaka mpya wa 2026. Binafsi nimekaa nikafanya utafiti wa historia mbali mbali na kutafakari...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Picha ya uyoga unaosadikika kuwa na sumu

  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu jihadhari dhidi ya hatari ya kuwekewa sumu kwenye chakula na vinywaji

    Watu maarufu, hasa viongozi wa kisiasa au wanaharakati, huwekewa sumu mara nyingine kwa sababu ya misimamo yao, ushawishi mkubwa, au kuwa tishio kwa maslahi ya watu fulani wenye mamlaka au maslahi ya kisiasa, kiuchumi au kijeshi. Hapa kuna sababu kuu zinazochangia hali hii:* 1. Migogoro ya...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kim Jong Nam 2017 kwa sumu hatari zaidi duniani Nerve agent vx

    Kifo cha Kim Jong-nam mwaka 2017 Kim Jong-nam, ambaye alikuwa kaka wa kambo (nusu kaka) mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, aliuawa tarehe 13 Februari 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kuala Lumpur, Malaysia. Alikuwa akiishi uhamishoni tangu mwaka 2003 baada ya...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umekula sumu bahati mbaya, nini cha kufanya?

    habari Natanguliza shukrani nauliza kama wataalamu mtatusaidia.
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Leo nimeshauriwa nikatoe sumu kwa njia ya kuweka miguu kwenye beseni ( ya wachina) je hii ni kweli?

    Nimekuwa na unene kiasi nina kitambi kuna mtu kanishauri niende nikatoe sumu kwa Wachina ile unakiweka miguu halafu miguu inalowekwa kwenye beseni halafu kuna mashine Iko kama kafriji na kawaya flani wanakaweka mikononi. Hii kitu ilianza miaka ya mwishoni ya 2000 nikiwa kijana ila Sasa ni mtu...
  7. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Onyesha sumu yako mapema watu wakujue wewe ni nani

    Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba! Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema kabisa ili tujue yeye ni nani na kwamba si muoga wa maneno ya watu matamko na mijadala yao...
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Frank Olson: Afisa wa CIA aliyekufa baada ya kuonjeshwa sumu yake Mwenyewe

    Wakati vita baridi ikianza kupamba moto miaka ile ya 1950s na 1960s, shirika la kijasusi la CIA lilianzisha program kadhaa zilizohusisha utengenezaji wa silaha za kibayolojia au tuseme silaha za sumu. Silaha hizi za sumu zilijumuisha utengenezaji na utumiaji wa kemikali za kudhibiti akili za...
  9. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maji ya DAWASCO yanatiwa sumu kudhoofisha afya ya wananchi Dsm

    Kuna tetesi za kuwawekea sumu wananchi kupitia mabomba ya maji kuanzia kesho, Nimepokea hii taarifa kutoka kwa ndugu zangu walio Magomeni. Na watu wengine wanne tofauti, kwakuwa ni jambo linalohusiana na afya ya watu Tunaomba liangaliwe kwa upana zaidi
  10. kiboko ya popo

    JamiiForums Tanzania Sumu na dawa maalum ya kufukuza na kuangamiza popo..sumu na dawa ya popo

    Hello.. Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama 1. Uchafuzi wa nyumba zetu kama madari na ukuta 2. Kelele nyakati za usiku 3. Popo ana uwezo wa kubeba virusi vya magonjwa...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hakuwahi kupewa sumu

    Hio ilikuwa mbinu yake tu ya kutafuta huruma na kuudanganya uma! Lakini silku watanganyika wakiujua ukweli wanaweza kumfuturu bila vinegar wala kachumbari https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1971890010950607137?t=HWkfFY_B8gMCBa-hQJwSFg&s=19
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Inakuaje sare za Jeshi zishonwe na raia, akiwawekea sumu SI watakufa kama Mende awa?

    Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo. Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi? Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda? Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe baada ya kukataa Maburungutu ya Pesa. Richmond ilitaka kumwondoa kwa Sumu

    Tuliokuwa wakubwa miaka hiyo tunakumbuka sana. Tunakumbuka nini kilitokea na sababu ilikuwa ni nini. Ndo muone kuwa hili genge lina fanya kazi miaka na miaka. Siyo jipya. Mnakumbuka lengo la kueliminate watu kadhaa akiwepo pia na Mwandosya? Haya mambo watu hamyajui wengi mlikuwa either Mbwinde...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Sumu zinazotumiwa na majasusi kumaliza adui zao kwa msaada wa grok

    Sumu zinazotumiwa na majasusi kuua mtu, hata akiwa kwenye msongamano wa watu, kwa kawaida huwa za hali ya juu, za haraka, na ngumu kugundulika. Baadhi ya sumu zilizotajwa katika visa vya kihistoria na vya sasa ni pamoja na:1. Novichok: Hii ni kemikali ya kulemaza neva iliyotengenezwa na Soviet...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mbelee kwa mbeleee, kamwe msiwasikilizi wanafiki na wazandiki wenye wivu na chuki ambao vinywa vyao vina sumu mithili ya nyoka weusi.

    Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM. Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MWENDELEZO WA KUJIUA UNAENDELEA.AFISA MTENDAJI AJIUA KWA SUMU YA PANYA..AISEE

    JANA NILIANDIKA TUENDELEE KOMBA ONGEZEKO LA WATU WA KUJIUA LIMEONGEZEKA SA NA SANA AFISA MTENDAJI NAE KANYOOOKA KAAMUA KUJIUA RIP  AM
  17. Setfree

    JamiiForums Tanzania WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
  18. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo wa kwenda kushtaki jirani ambaye anachanganya madawa yenye sumu Kali ya kuua wadudu shambani

    Husika na kichwa Cha Habari Wadau naombeni muongozo hapa, je hii kitu ni sawa? Kwenye makazi ya watu mtu nyumbani kwake anachanganya sumu Kali zenye harufu Kali za kuua wadudu mashambani na kwenye mazao , hivyo harufu inasambaa kwa majirani na watoto are present Hivi hizi sumu si ndio...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mbunge wa Ulaya Valérie Hayer amepinga madai ya Lissu kuwekewa sumu

  20. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
Back
Top Bottom