sumu

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msaga Sumu apata ajali Ruvuma, apelekwa MOI kwa uchunguzi zaidi

    Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, Ngollo Malenya amethibitisha taarifa za Msanii maarufu wa singeli, Msaga sumu kupata ajali jana Mei 16,2025 wakati akirejea Dar es salaam akiwa anatokea Wilayani Namtumbo kutumbuiza kwenye mkesha wa mwenge. DC Ngollo amesema "Msaga sumu alikuja Wilaya...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Manipulation: Mbinu iliyotumika na CIA kukichukua kisiwa huko Ufilipino na Sakata la Sumu Ofisi za Chadema huko Mbeya.

    Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino. Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msaga sumu akitumbuiza Mei mosi asema Tanzania kama ulaya, Rais Samia anaupiga mwingi

    Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Dawa gani utumie au ufanyeje kwa njia za Miti Shamba kama ukihisi Umelishwa Sumu au Umekula Sumu ili uweze Kupona na Usife au Usidhurike?

    Nimeanzisha huu Uzi Makusudi nikiwa nataka kuwasaidia Watu hasa hasa kwa mwaka huu na Nyakati tulizopo kwa sasa.
  5. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Idara ya ujasusi ya Burkina Faso yagundua njama za kumuwekea sumu Rais Traore

    Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais...
  6. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Chuki ni sumu

    Chuki ni mzigo usioonekana unaokula nafsi kimya kimya Kuna uchungu wa aina fulani huwezi kuupiga picha. Uchungu wa mtu anayebeba chuki moyoni... Chuki haina kelele, lakini ina sumu... Ni moto unaowaka ndani kimya kimya, ukiunguza kila chembe ya amani uliyonayo. Ukimchukia mtu si yeye...
  7. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya na ubinafsi sumu inayotumaliza

    Roho mbaya, ubinafsi ni sumu tunayoilea. Ukiinuka, wananyamaza. Ukidondoka, wanatabasamu. Ukifaulu, wanahoji: “Aliwezaje?” Ukishindwa, wanafurahi. Hakuna uchungu mkubwa kama kupambana mbele ya macho yanayotamani uanguke. Watu hawakuombei ufanikiwe… wanakuombea usiwapite. Unaweza kuwapa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa sumu wa Cobra

    King cobra (Ophiophagus hannah) ana moja ya mifumo ya sumu ya kuvutia na yenye nguvu katika ulimwengu wa nyoka. Akiwa ndiye nyoka mrefu zaidi mwenye sumu duniani—anayefikia hadi futi 18—anachanganya nguvu, usahihi na utata wa kibaiolojia katika utoaji wake wa sumu. 1. Muundo wa Sumu King cobra...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukiweka sumu kwenye chakula changu, hata kama sumu hiyo inaua ndani ya dakika 1, sifi. Sababu hii hapa

    Ndugu yangu, kumbuka kila wakati, katika dunia hii sio wote wanaofurahia mafanikio yako ya kimaisha, ya kikazi au ya kibiashara. Kwa sababu hiyo yamkini kuna watu wanapanga mbinu za kukuangamiza. Na wengine wanaweza kukuchukia tu hata kama huna pesa au cheo, wakatafuta njia ya kukuondoa duniani...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Panya wa Kichina wamevamia Dar es Salaam. Hawali sumu yao pia wanajua mtego. Serikali itusaidie

    Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam. Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata. Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo. Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele...
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Sumu ambazo zimeua watu wengi sana

    !! Maisha yangu au yako ni funzo kwa watu wengine. Katika umri huu mdogo nilionao, leo nakuletea baadhi ya sumu ambazo nimeshuhudia zikiua ndoto, maisha na mafanikio ya watu wengi sanaa! 1. Sumu ya marafiki wabaya. Marafiki wabaya hukuingiza kwenye kutenda mambo mabaya yanayoweza kukupeleka...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtu Sumu: Asiyesikia la Mkuu Huvunjika Guu

    Nakumbuka miaka ya 2010 nikiwa nimetoka chuo, bado nanuka optimism ya maisha. Nilikuwa na uhakika kwamba mshahara wangu wa kwanza ungekuwa milioni moja, na mawazo mengine ya mchana kama hayo yalinifanya niamini kuwa maisha yangenyoosha tu. Katika kipindi hicho, nilijijengea utamaduni wa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Dini na ukabila ni sumu kwa Taifa by Hayati Baba wa Taifa

    https://m.youtube.com/watch?v=6QHH07X5m28
  14. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 28 anywa sumu baada ya kuambiwa mtoto aliyekuwa akimlea si wake

    JUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE Mwili wa kijana Justine Mbaga mwenye umri wa miaka 28 ambaye amefariki dunia jana Februari 11,2025 ikidaiwa ni kwa kunywa sumu baada ya kupewa taarifa kuwa mtoto aliyekuwa anamhudumia si wake, umezikwa leo katika makaburi ya Magegele yaliyopo...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Husda: Dada( Graduate) huko Nigeria, alishwa sumu na rafikiye ( mfanyakazi mwenzake) Kwa sababu kapandishwa CHEO kazini.

    Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters. Na rafikiye ana Masters pia. Walikuwa wanafanya Kazi idara moja. Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo. Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe. Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters.. This means what? Elimu ya...
  16. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania FidQ: anatuachia ujumbe mkubwa sana kwenye Ngoma yake ya SUMU, tuijadili

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana Watukuobhutaga magulu wakusege, kwalounguno ya bhulema wako, Bhene bhalelemeja bhango jako douhu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Busega: Madai ya Mgodi wa Dhahabu kutiririsha maji yenye sumu kwenye mto lilifanyiwa kazi

    Serikali imezungumzia suala la madai ya Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu kulalamikia changamoto ya Mgodi wa Dhahabu wa EMJ kwamba unamwaga maji yanayodaiwa kuwa na sumu kwenye mto. Mgodi huo ambao unamilikiwa na Mzawa pamoja na raia wa kigeni...
  18. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Nini yatakuwa matokeo kwa mtu ambae atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu?

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana jamii, naomba kuuliza ni nini kitatokea endapo mtu atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu, ukizingatia maziwa huwa tunayatumia kumpa mtu aliye kula sumu kabla ya kumpeleka hospitali kwa matibabu zaidi
  19. N

    JamiiForums Tanzania Bado Yericko; Huenda kwa sasa kumtetea Mbowe ni hatari zaidi kuliko kulamba sumu kwa ulimi kilichompata Ntobi ni kielelezo cha nguvu halisi ya Lissu

    Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually) Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Serikali itusaidie, Mgodi wa Dhahabu EMJ unatiririsha maji yanayodaiwa kuwa na ‘sumu’ katika mto

    Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu unaitwa EMJ, unamilikiwa na kiongozi mmoja wa CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC) anaitwa Gungu Silanga...
Back
Top Bottom