sumu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

    Hali ya maisha ni ngumu sana Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani Unakuta familia inakutegemea lakini wewe...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwandishi aliyewahi kupinga vita vya Ukreini awekewa Sumu

    Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu. Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi. Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu aliyepewa fedha za TAKUKURU Afariki Dunia, yadaiwa amekunywa kimiminika chenye sumu

    Mnamo tarehe 14.09.2023 majira ya saa 1:30 asubuhi huko katika nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari Mtanila iliyopo Kijiji cha Igangwe Wilaya ya Chunya, Mkuu wa Shule hiyo aliyefahamika kwa jina la MAGWIRA NKUTA [41] alifariki dunia baada ya kunywa kimiminika kinachodhaniwa ni sumu. Chanzo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  6. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania TEC Ina nguvu duniani kote waraka wao usipuuzwe

    Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani. Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake? Au ni bomu limetegwa?
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Udini na Ukanda ni sumu kwa taifa lolote, Watanzania tujaribu kuizuia

    Habari wanajf. Swala hili linaloendelea mitandaoni watu wakijaribu kulinganisha swala la bandari na udini na Ukanda linazidi kukua. Likiwa kubwa litatoka kwenye mitandao litaanza kulitafuna taifa letu. Nasema ni sumu Kali kwasababu halijawahi kutulizwa kirahisi likianza hasa kwenye nchi za...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi watahadharishwa upandaji maua kiholela, yaelezwa kuna maua yenye sumu

    Msimamizi wa kituo cha Taifa cha kudhibiti matukio ya Sumu (NPCC) iliyopo katika Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali(GCLA) Yohana Goshashy ametahadharisha jamii kuacha kupanda maua majumbani kiholela badala wake wawaone wataalamu ili aweze kuwaonesha maua ambayo hayana madhara. Wakati wa...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nakatuba Mkoani Mara kimekuwa Kijiji cha watu kuuawa kwa sumu na ushirikina, Serikali iamke hali inatisha

    Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha imani za kishirikina na kuuana katika kijiji hicho hadi kusababisha baadhi ya vijana kukimbia na...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KWELI Maharage mekundu yenye umbo kama figo yasipopikwa vizuri huweza kuwa sumu

    Wakuu kinachosemwa juu ya sumu kwenye maharage mekundu ni kweli? Nimeona machapisho mtandaoni kuwa maharage mekundu ni hatari kwa afya zetu nikapata hofu ukizingatia maharage ndio mboga kuu kwetu wengi. Msaada wa kujua ukweli wa jambo hili.
  11. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuvuniwa mazao yetu shambani kimaajabu tukutane hapa tafadhali tutoe sumu

    Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground. Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu zimejaa haswa unapolima kilimo cha biashara sio kile cha gunia tatu au nne. Wote tuliowaipitiwa na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DJ aliyerekodi Video wakati mkewe akinywa Sumu hadi kufa, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Nchini #Kenya, linamshikilia kwa mahojiano, #DJBrownskin (Michael Macharia Njiiri) anayedaiwa kurekodi tukio hilo ambalo limetajwa kuwa ni kosa la kusaidia kuua, kinyume na Kifungu cha 225 (c) cha Kanuni ya Adhabu. Upande wa Upelelezi umesema DJ huyo aliacha bila kuchukua hatua...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania USM Alger waishitaki Yanga kwa kupuliziwa hewa isiyo salama vyumbani

    Taarifa inayosambaa ni kuwa Klabu Bingwa mtarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF, USM Alger wameishitaki Yanga kwa shutuma za kuwapulizia hewa isiyo salama katika vyumba vyao vya mapumziko uwanja wa Benjamin Mkapa. Pia taarifa zingine zinasema USM Algers walitishia kutoendelea na mechi hiyo ya...
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nyongo ya mamba ni sumu inayoweza kuua

    Naomba kuuliza wataalamu wa jamii check. Maisha yangu yote naamini kuwa nyongo ya mamba ni sumu, lakini kuna bosi wangu mmoja tumebishana vikali akidai kuwa si sumu bali ni nyongo tu kama ya binadamu. Ukweli ni upi?
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Watoto wawili wafariki kwa kula mboga yenye sumu, saba wanusurika kifo

    Watoto wawili wa Familia ya Tandula Ngasa, katika Kijiji Cha Mwakiloba Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamepoteza maisha na wengine saba kunusurika kifo baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Akiwa kwenye mkutano wa Jukwa la tatu la Ushirika Mkoa wa Simiyu ambapo alikuwa mgeni rasmi, Mkuu...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

    Hii habari nimekutana nayo Twitter, sijajua ukweli wake hasa ni nini lakini si mbaya niki-share nanyi -- Anaitwa DJ Brownskin... Alimrekodi mkewe akinywa sumu. Alimshawishi mwanamke huyo anywe sumu, kisha akamwita housegirl ili amnyweshe maziwa huku akiendelea kurekodi mambo yote. Mmoja wa...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Chechnya alia kutiliwa sumu

    Kiongozi wa wapiganaji wa Chechnya (kundi la waislamu) ambao wanampigania Putin na ambao wanafahamika kwa ukatili uliokithiri, amelia lia kutiliwa sumu nusra afe... Kuna kipindi aliomba kama vipi Putin abonyeze vitufe vya nyuklia tu maana wamechoka... Chechnya's battle-hardened leader...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wakamatwa wakisafirisha shehena ya vipodozi vyenye viambata sumu kwenye tanker la mafuta

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako na doria za nguvu na zenye tija katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio makubwa ikiwemo kukamata watuhumiwa 14 kati yao wanaume ni 11 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa kusafirisha vipodozi vyenye viambata sumu na...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu hasa huyo mtu akiwa kibopa wa Serikali, najuta

    Mke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale. Wakuu ama kweli yalionikuta jana siwezi kuyasahau maisha yangu yote hivi inakuaje manjemba watatu wote wanakuja guest na mafuta...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Madereva kufariki kwa kusafirisha Kemikali za Sumu

    OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali na wasafirishaji wa kemikali wamesema hakuna dereva anayepoteza maisha kwa kuathiriwa na kemikali kutokana na uhifadhi usiofaa wakati wakusafirisha. Ufafanuzi huo umetolewa Mara baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii iliyorekodiwa na raia wa nchi...
Back
Top Bottom