Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.
Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:-
1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye.
2...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dainess Paul Mwashambo (30) mkazi wa Kijiji cha Mashese katika halmashauri ya Mbeya vijijini anayetuhumiwa kuwanywesha sumu ya kuulia magugu shambani watoto wake wawili Mario Semen Adamson (4) na mdogo wake wa kike aitwaye Beonis Semen Adamson (2) wote...
Tutamkumbuka mzee wetu Ally Hassan Mwinyi kwa kulielezea tatizo kubwa lililoathiri wengi, AIDS au UKIMWI.
Katika kuliekezea tatizo hilo, Mzee Mwinyi alitumia lugha rahisi iliyoeleweka kwa kila mtu: SUKARI IMEINGIA SUMU🤣🤣🤣🤣
"Sukari imeingia sumu, hasa pale tunapo ppp...papenda" alisema mzee Mwinyi
Utafiti uligundua kwamba kufichuliwa kwa muda mrefu kwa mwanga mkali wa 'bluu' unaotolewa na simu za mkononi na taa za ofisi zenye taa za LED kunaweza kuwa 'sumu'.
Kuwashwa kwa mwili na mwanga wa speshi ya bluu kwa muda wote kunaweza kuvuruga kazi za kawaida za mwili na kusababisha kutokuwa...
Jamaa wanajua wanawindwa na Israel halafu wanakula kula hovyo hovyo, haya wamewahishwa kwa mabikira....
The poisoning appears to have targeted the leadership, as all four of those killed have been described as commanders or leaders.
Several others were reported injured in the event, including...
Habarini wanaJamii Forum. Nimesikia baadhi ya watu wakisema kwamba jongoo anapokufa halafu akakauka, akisagwa na kuwa unga unga, ule unga watu huutumia kama sumu inayoua taratibu, hata miezi mitatu.
Nimepinga hoja hii ila wanaoamini hivyo hawaelewi. Kama inawezekana kuwahusisha wanasayansi...
Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU!
Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni...
Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema
"Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na Mungu hana mpango wa kuniondoa kwanza. Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu, mtafute waganga...
Lawama la kushindwa kwa Taifa stars AFCON kwanza liende kwa TFF kabla ya sehemu nyingine. Timu zetu kubwa kwenye ligi haziandai Wachezaji wa kuichezea timu ya taifa kwakuwa wamepewa ruksa ya kutafuta wachezaji 12 nje ya nchi. Hii inasababisha vijana kama Mzize na wengine wasipate muda wa kukosea...
1. Nani asiyejua hatari ya kuonja sumu kwa ulimi?
2. Upo wito halali wa kutelemka mabarabarani 23/24.
3. Pamoja na kuwaita ndugu wa damu tena wale nguli washindao mitandaoni 24/7 kwa majina yao:
"Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote."
4. Ni mwendo wa kupita juu kwa juu, kama jambazi...
Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive.
Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema.
Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
bure
chakula
chakula sumu
dawa
gharama
hata
hatari
hospitalini
kesi
kifungo
kuchanganya
kunogesha
lishe
magonjwa
mahakama
mama lishe
mapishi
mkaa
mmoja
mtu
mtu mmoja
sumu
supu
utumbo
Ni kweli kabisa wamarekani weusi walipitia utumwa lakini sio sababu ya wao kuendelea kuwa nyuma,
Walichobaki kukipigia kelele ni kulipwa fidia za utumwa wa mababu zao ila ni kusubiri maembe chini ya mpera, hata waafrika wenzao weusi wanaohamia Marekani wanazidi kuwachapa gepu.
Shule zipo...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu...
Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda
Watu ukishawajua bhana, haikusumbui!
Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa!
Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya...
Hali ya maisha ni ngumu sana
Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi
Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani
Unakuta familia inakutegemea lakini wewe...
Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu.
Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi.
Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
Mnamo tarehe 14.09.2023 majira ya saa 1:30 asubuhi huko katika nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari Mtanila iliyopo Kijiji cha Igangwe Wilaya ya Chunya, Mkuu wa Shule hiyo aliyefahamika kwa jina la MAGWIRA NKUTA [41] alifariki dunia baada ya kunywa kimiminika kinachodhaniwa ni sumu.
Chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.