Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 3,951
- 4,264
Wakuu, Mamlaka ya NIDA imeorodhesha namba hizi kwaajili ya mawasiliano kwa sisi wateja wao wenye changamoto mbali mbali kutokana URASIMU wao;
0752 000058, 0677 146667, 0777 740008, na 0735 201020.
Jambo la kushangaza na KUUDHI, namba hizo kila ukipiga simu HAZIPOKELEWI wala kujibiwa chochote. Kuna nini huko NIDA? Kwanini mnatufanyia UHUNI wa namna hii?
Kama shughuli zenu zimefungwa rasmi mtoe taarifa ili tujue cha kufanya kuliko kutuchezea akili namna hii.