PENDEKEZO: Mishahara na Malipo Mengine yaruhusiwe kupitia waleti za simu
Halopesa/Tigopesa/MPesa/Airtel Money/T-Pesa/waleti zingine
Badala ya watumishi katika sekta za umma na za binafsi kulazimika kutumia akaunti za benki kupokelea mishahara, waruhusiwe kupokelea mishahara na malipo mengine...
Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa wa vijana, Afrika inaongoza katika matumizi ya teknolojia ya simu na programu tumishi maarufu kwa Kiingereza kama apps.
Ukuaji wa sekta hiyo unajidhihirisha pia...
Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha.
Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu.
Kuweni waangalifu...
Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu!
Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!
Tuweni wastaarabu jamani
Umefika wakati sasa ndugu zangu tuanze kufahamu matumizi sahihi ya simu, Iweje leo mtu unakuwa na picha nyingi kwenye simu kiasi hiki? Hiyo sasa simu au Camera cha kusikitisha sasa hizo picha zote hakuna jipya. Tubadilike jamani Dunia inatuacha hii, simu km hiyo ikiibiwa sijui itakuwaje.
Habari za mchana wakuu, natumaini muwazima wa afya, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka kununua simu ya kusogeza maisha sasa embu wajuzi wa mambo mnishauri nitapata simu gani kwa hiyo hela?
Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na Huawei Mate series.
Vikwazo vya Marekani vimefanya imekua ngumu kwa Huawei kupata vifaa vya...
Nimeibiwa simu hapa nahisi kuchanganyikiwa, natmia kisim kizito kuandika hapa inaskrach balaa nisameheni kwa mwandiko,nahisi nimechanganyikiwa nifanyeje niiipate tena simu yangu?
Nimeibiwa simu wakati ambao nimefulia maana cm yng ndo ilikua km jembe kwangu ndo ilikua inanilisha na kuniweka...
1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna simu hata za laki kwa wenye bajeti finyu ila pia kuna simu za gharama kuliko hata iPhone kwa...
China kulikua na Iphone nyingi kuliko nchi yoyote Duniani ila sasa Iphone inapoteza nafasi ya kua simu namba moja China.
Watumiaji wengi wa Iphone wanahamia Huawei, Iphone inakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa makampuni ya China kama Huawei, One Plus, Oppo, Honor, TCL, ZTE na kadhalika...
WASIMAMIZI wa uchaguzi wa mikoa na wasimamizi wa uchaguzi mkuu ngazi ya wilaya na majimbo, wameagizwa kuhakikisha simu zao zinakuwa wazi katika kipindi chote hadi uchaguzi utakapomalizika na matokeo kutangazwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Kadhalika, NEC imewasisitiza wasimamizi wa...
Hello mwana JF
Wengi wetu tunapata changamoto kupata wallpaper nzuri za simu. Ama tunaweka wallpaper zinazotuumiza macho kwa namna moja ama nyingine au tunatumia wallpaper lakini imekuchosha na hujui wallpaper nzuri ya kuweka...
Sasa basi usisumbuke tena kwani tunakuletea wallpaper nzuri...
Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3.
Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha.
Na ikijiwasha inaandika tu neno tecno arafu inaganda hivyo hivyo baada sekunde kama kumi hivi inajizima na kujiwasha tena...
Habari za usiku huu wapendwa katika Bwana Natanguliza shukrani zangu za dhati Kwa Mpendwa wetu Aliyetutoka Mh. William Benjamin Mkapa pia Umomi R.I.P🙏🙏
Baada ya salamu hizo niingie sasa kwenye kufoka😅🤣
Nipo maeneo ya mjini Mida kama ya saa 11 jioni nimeskilizia tu kushangaa magorofa, mara...
Habari wakuu,
Nina simu ya mtumba nilinunua kama wiki tatu Sasa ila ina mtindo wa kupata joto nikiwasha data kidogo au nikiunga Hotspot na pc au hata niwasha baadhi ya apps. Cha ajabu naweza play audio usiku kucha na isipate joto au naweza ongea na mtu Muda mrefu still isipate joto
Aina ya...
IMEI NUMBER NI NINI?
IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha
vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet.
Kwa simu zenye sim card...
Habari waungwana, kuna changamoto ya kujirudia rudia kwa picha na ma file mengine katika simu hasa "Audio" na "Video".
Msaada :
1. Naomba kujuzwa ni kitu husababisha kujirudia rudia (Multiple) kwa mafile katika simu, yaani audio zinakuwa mbili mbili, au folder za mapicha zinakuwa mbili mbili...
WanaJF mnaotumia mtandao wa simu wa kampuni ya Vodacom kuweni makini kufuatilia makato ya fedha kwenye vifurushi mnavyojiunga.
Kuna kukatwa pesa bila mteja kujua hasa unapokuwa unajiunga ukiwa na fedha kwenye account yako.
Jioni hii nimepigwa, nanilipowafatilia wananipa majibu ambayo wao...
WAKAZI 15 wa wilaya ya Kilombero Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutumia laini za watu wengine bila kutoa taarifa.
Washitakiwa hao ni mkulima Meniad Ndiyo (25), dereva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.