Fahamu usiyoyajua kuhusu Imei namba ya simu yako

dunstech

New Member
Jun 14, 2020
2
19
IMEI NUMBER NI NINI?

IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha
vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet.
Kwa simu zenye sim card mbili, IMEI ziko mbili kwa sababu kila sim card ina connection yake.

IMEI number ina tarakimu 15. Mara nyingi inaandikwa kwenye box ambalo linakuja na simu au ndani ya simu upande wa
battery kwa zile simu ambazo zinatoka battery. Pia unaweza kuipata kwenye simu yoyote kwa kupiga * # 06 #.

Kujua kama IMEI yako ni valid, ingia kwenye google kisha andika maneno haya tcra imei check, link ya kwanza ukiifungua itakupeleka
kwenye website ya tcra ambapo utaingiza imei number yako, utatakiwa kujaza "captcha" ambayo ni hesabu kama vile 12+5=,
wewe utajaza jibu lake kisha kubonyeza sehemu ya "verify my device".

Kama jina la simu ambayo italetwa haliendani na simu yako basi tambua kwamba kuna uwezekano mkubwa simu yako siyo original au
ilibadilishwa IMEI number ya mwanzo. Pia unaweza kuipata link kwa kuingia kwenye website ya tcra moja kwa moja, kwa chini kabisa kuna
sehemu iliyoandikwa "useful links" utaona sehemu wameandika "IMEI code verification".

LENGO LA IMEI NUMBER
Lengo kubwa ni kutambua na kutofautisha mobile devices pale inapoconnect kwenye mnara. Lengo la pili ni kuzuia wizi wa mobile devices.
Hivyo inawezekana mtu akaipata simu yake iliyoibiwa kwa kutumia IMEI number. IMEI number imetengenezwa kama sehemu ya hardware ya simu.
Ukifanya update ya simu au ukibadilirisha sim card, IMEI number haibadiliki.

NAWEZA KUBADILI IMEI NUMBER?
Ndio inawezekana kama una ujuzi. Kwa sheria za nchi nyingi ikiwemo Tanzania, unaweza kwenda jela, kutozwa faini au vyote kwa pamoja kama ikigundulika umebadilisha IMEI number ya simu.

NAWEZA KUIPATA SIMU ILIYOIBIWA KWA KUTUMIA IMEI NUMBER?
Ndio, inawezekana. Ikitokea umeibiwa simu, inawezekana kuipata kwa msaada wa police kwenye kitengo kinachohusika na makosa ya mtandao.

Kitu cha kwanza, unatakiwa kutoa uthibitisho kwamba wewe ndio mmiliki halali wa hiyo simu. Kwa hiyo kuna umuhimu wa kuhifadhi IMEI number yako hata kwenye notebook, risiti uliyonunulia au box la simu kwa sababu hivi vyote vina ile IMEI number ya simu.

NAMNA GANI POLICE WANAWEZA KUKUSAIDIA KUIPATA SIMU?
Kisheria kabisa, police wanafanya kazi kwa kushirikiana na mitandao ya simu katika kudhibiti wizi wa simu. Kwa sababu IMEI number inafanya.

kazi ya kutambua mobile device iliyofanya connection kwenye mtandao wa simu, basi mtandao husika unaweza kujua taarifa kadhaa kuhusu IMEI number.

iliyokuwa connected.Taarifa zako zote zinahifadhiwa na mtandao wa simu kwenye sehemu inayoitwa Equipment Identity Register(EIR).

Mfano wa hizo taarifa ni number ya simu iliyopo kwenye simu husika na location(eneo) ambalo mtumiaji yupo. Kila mnara wa simu una jina la location yake, simu yako ikiwa inatumia huo mnara, mtandao wa simu unafahamu na ndio maana inawezekana watu wa mtandao mmoja waliopo sehemu tofauti wakapata vifurushi vinavyotofautiana.

IMEI ya simu iliyoibiwa ikiripotiwa, inakuwa blacklisted, maana yake ni kwamba kila ukitumia mtandao utajulikana kwamba hiyo
simu ni ya wizi. Otherwise usitumie mtandao na ukaitumia kwa vitu vingine kama vile playing music, games, n.k Kwa hiyo hata
kama ukibadilisha sim card kwenye simu iliyoibiwa, watafahamu number ya simu ambayo imewekwa kwenye simu iliyopotea na
kuna uwezekano mkubwa ukashikwa endapo IMEI number ya simu haijabadilishwa.

NOTE:
1. Ni vigumu kwa mtumiaji wa simu kupata simu iliyoibiwa bila kuishirikisha Serikali.

lost phone.png
 
Inategemea, mimi mbona niliibiwa simu mtongani, baada ya wiki niliipatia sinza, tena kwa kui track mwenyewe tu!! Nili fungua jarada kilwa road polisi, mlolongo ukawa mrefu!! Nikaingia front mwenyewe tu!! Nikafanikiwa kumkamata mwizi wangu!!!
 
uliingiaje front mwenyewe mkuu? fafanua tafadhali
 
View attachment 1517613
Hapo nilipo zungusha duara mbona inasoma UNKNOWN?
20200728_101221.jpg
 
NAWEZA KUBADILI IMEI NUMBER?
Ndio inawezekana kama una ujuzi. Kwa sheria za nchi nyingi ikiwemo Tanzania, unaweza kwenda jela, kutozwa faini au vyote kwa pamoja kama ikigundulika umebadilisha IMEI number ya simu.
Huwezi kubadili IMEI namba na ukaendelea kubaki na chip ile ile, unless ubadilishe chip au motherboard ya electronic device yako, kwa sababu namba hii ni maandishi yaliyochomwa kwenye motherboard. Ni kama MAC kwenye kompyuta
 
kaka hata hii simu yangu nimebadilishaa ime nendaa kariakooo ni 10000
 
NI sawa, sikatai ila walichofanya ni kwamba wamekubadilishia chip wakakuwekea chip yenye IMEI namba nyingine, hujabadilisha IMEI. IMEI ni copyright ya manufacturer. Still, hata yeye akitaka kuibadilisha, habadilishi namba anabadilisha chip. Mimi naamini kuwa IMEI hata manufacturer hawezi kuibadilisha, japo sina uhakika sana
 
Ulifanyaje fanyaje mkuu
Inategemea, mimi mbona niliibiwa simu mtongani, baada ya wiki niliipatia sinza, tena kwa kui track mwenyewe tu!! Nili fungua jarada kilwa road polisi, mlolongo ukawa mrefu!! Nikaingia front mwenyewe tu!! Nikafanikiwa kumkamata mwizi wangu!!!
 
Tupe maelekezo basi unafanyanje

Kuna app niliweka ambayo kila ukibadirisha line ilikuwa ina nipa taarifa kwenye simu yangu nyingine kuwa namba hii ndio imewekwa kwenye simu yako!! Hivyo ikawa rahisi kwangu kuifuatilia!! Kwa kuweka mtego wa kumpigia na kumpa taarifa kuwa kuna ndugu yake amepata ajali yupo hoi hivyo aje hospital, hiyo namba yake tumeikuta kwenye suruali yake!!(imeandikwa dada RECHO) yeye hajitambui!! Mimi ni Daktari!! Kweli akaanza kulia na kusema nakuja!! Kweli baada ya nusu saa akafika na tayari nilikuwa nimeshawaa askari!! Akafikia mikono salama na simu yangu hiyo hiyo ndio alikuwa anaitumia!! Akapigwa pingu hadi kituoni!! Akatoa ushirikiano, nikapata simu yangu na pesa yote niliyoibiwa na cha juu, kesi ikaishia hapo hapo!!
 
Mkuu jina la app tafadhali 🙏
 
Back
Top Bottom