Simu yangu ya Tecno inasumbua inaandika 'Google play has stopped'

Kitangiri15

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
338
702
Wana teknolojia hamjambo?

Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki click "setting" haifunguki.

Naomba kuwasilisha.
 
same with me, hii tecno camon11 inazingua hatari, ili crash os nikawarudishia tecno wakaweka os nyingine hapo ndipo shughuli ilipoanzia os sio stable tena, ina crash google, ina crash na kingine chochote itakacho kiona yenyewe. Siku nyingine ina stop hadi UI, hapo inaanza kuji restart... Nimesha factory reset zaidi ya mara 6, na haikubadi ku install updates anazotuma develover, hapa tunafanyeje wakuu mawazo yenu plz
 
hizi simu ni mchicha mwiba jamani,mbona hamtuelewi??

yaani kweli unaandaa laki 250k unaenda kununia tecno jamani
 
Wana teknolojia hamjambo?

Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki click "setting" haifunguki.

Naomba kuwasilisha.
Restore Simu yako
 
mimi ni masikini mwenzako,juzi nimenunua a20 kwa 270 mkononi kwa mtu.

nina furaha sana,hata sijui huwa mnakwama wapi??
Mmmmh simu za kununua kwa watu sio nzuri.what if imetumika kwenye uhalifu? Au iliibiwa somewhere?
 
Back
Top Bottom