Watu wengi wamekuwa wakilalamika sana kuhusu kuhusu ununuzi wa VIFURUSHI na makato kwenye miamala ya simu wakiona kuwa wanapata faida ndogo hususani kwenye VIFURUSHI ukilinganisha na gharama wanayotoa! Naishauri SERIKALI waweke ASILIMIA kwenye gharama anayotoa MTEJA Ili irudi kwa MTEJA kama...
JINSI APPLICATION YA SIMU INAVYOWEZA KUTATUA TATIZO LA AJIRA - CAREER APPLICATION
Utangulizi
Upatikanaji wa ajira umekuwa ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la watu hususani vijana ambao huhitimu masomo yao huku nafasi za ajira...
Habari wakuu,
Tumeshusha mzigo mpya wa simu simu zote mpya pamoja na used. Simu za mezani, unaweka laini yoyote inakaa na chaji si chini ya siku nne kwa matumizi ya nyumbani na ofisini.
Tumeshusha tablet zenye keyboard na zisizo na keyboard kwajili ya watoto,watu wazima na ofisi.
Bei za simu...
nchi ya China, inatengeneza bidhaa kwa ubora aina 2, kuna ambazo made for china (kwa matumizi ya ndani ya china ,zinakuwa imaa mno na mara nyingi hazina box. Pia kuna aia ya pili made for out of china(kwa kuuza nje ya China) zinakuwa na ubora wa kawaida na box. Leo natambulisha kwenu samsung...
Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda.
Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana?
Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote.
Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali
Nikiwa Mbeya 2022 nilifahamiana na bwana mmoja tuliyekuwa tunamuita ngosha lakini baadae nilitambua anaitwa Katemi. Huyu mtu nilifahamiana naye baada ya kuwa tunaonana mara kwa mara sehemu ambayo nilikuwa napenda kushinda ni mtu ambaye tulikuwa tunaheshimiana na ni mtu mzima.
Kwa muonekano...
Kama kawaida mlinzi msomi nisiye na hiyana.
Nilipanda bajaji mwaka 2021 nikasikia jambo, nami nikadadisi kidogo. Nikafanya kama nilivyoambiwa.
Ukiwa na smart phone mbili , yako na ya mwenzi wako au yako na ya rafiki yako nenda kwenye Goole map then share location na simu nyingine. Hapa unaweza...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio.
"Napendekeza Kufuta tozo kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili...
Mjadala wa kubinafsisha shughuli za bandari ya Dar es Salaam umepamba moto leo katika ukumbi wa bunge Dodoma.
Baada ya wabunge wa CCM kumshutumu Freeman Mbowe kwa kauli yake juu ya nafasi ya wazanzibari kwenye ubinafsishaji wa bandari za Tanzania, spika Tulia Akson amelazimika kuruhusu clip...
Wakuu,
Huu mjadala bungeni ni geresha tu, kutuuza mchana kweupe na watu tupo tu tunafatilia eti tuone maajabu yakitokea. Mnafikiri kitatokea kitu tofauti?
Si ni kuridhisha tu watu kuwa kuna taratibu zilifanywa kutoa maelezo kwa wananchi kuwa mkataba huu ulipitiwa vizuri kabla haujapitishwa😂😂...
Jamani hawa watu wanajiita Watu Credit wanaodhamini mikopo mbalimbali ya simu za mikononi, tunaomba Serikali iingilie kati. Wananchi wanaibiwa sana na kuonewa kiuchumi.
Mtu anakopeshwa simu ya Tsh 300,000/= sokoni, analazimika kulipia zaidi ya milioni kwa mwaka, na usipolipia simu yao...
Habari.
Nina mwezi wa tatu sàsa natumia tecno yaani hadi nakoma.Yaani ni stress tupu nashindwa kuizoea mara inepeleke kule mara huko nikirudi huku inanitoa nje mara iminimize yenyewe nikibonyeza huku inarudi juu..mara casa ikwame inanitizama tu kama bundi sàsa sijui tatizo ni mimi au simu yaani...
Habari,
Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana.
Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
Kiswahili sanifu kugida ni kuruhusu maji kutoka ndani ya chombo kidogo kidogo.
Hivyo ndivyo ilivyotokea huko India baada ya bwawa moja kukaushwa ili kuipata simu iliyotumbukia humo wakati wa kupiga selfie.
Simu hiyo ilikuwa ni ya aina ya Samsung yenye thamani ya dola 1200 mali ya bwana Rajesh...
SCREEN SIZE
Makampuni ya utengenezaji wa simu kama Iphone ,samsung, Xiaomi n.k yanaanza kuzingua kwa
utengenezaji wa simu wenye vioo vikubwa vya simu mpaka inasababisha mtumiaji kukerwa anapotumia.
Naona sasa simu zinaanza kuwa na ukubwa wa inch 7' dah!.
Simu nayotumia saivi ina ukubwa wa inch...
Hello JF,
👇👇👇
Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko.
Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.