Mjadala wa kubinafsisha shughuli za bandari ya Dar es Salaam umepamba moto leo katika ukumbi wa bunge Dodoma.
Baada ya wabunge wa CCM kumshutumu Freeman Mbowe kwa kauli yake juu ya nafasi ya wazanzibari kwenye ubinafsishaji wa bandari za Tanzania, spika Tulia Akson amelazimika kuruhusu clip iliyokuwa na matamshi ya Mbowe kuchezwa bungeni.
Clip hiyo ilichezwa kwa sekunde chache kabla ya spika kuisitisha akidai itakuwa ndefu mno na kutaka kichezwe kipande kifupi. Hata hivyo ilishindikana kuendelea na usikilizaji wa maneno ya Mbowe kutokana na ufinyu wa muda.
Bunge lisilo na upinzani ni kama mahubiri makanisani au misikitini.