Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 65
- 66
SCREEN SIZE
Makampuni ya utengenezaji wa simu kama Iphone ,samsung, Xiaomi n.k yanaanza kuzingua kwa
utengenezaji wa simu wenye vioo vikubwa vya simu mpaka inasababisha mtumiaji kukerwa anapotumia.
Naona sasa simu zinaanza kuwa na ukubwa wa inch 7' dah!.
Simu nayotumia saivi ina ukubwa wa inch 6.4' naona jau kwny utumiaji sasa iyo inch 7 itakuwaje.
Ndugu yangu tuambie wewe unatumia simu yenye ukubwa wa kioo inch ngap na je unaifurahia?

12 pro max