Salaam/Shalom.
Natumai mu-wazima kabisa, kama mimi vile nilivyo pia.
Lakini huwezi kujua mtu ambaye hamjawasiliana muda mrefu sahizi anaendeleaje...? Watu wangapi hujawasiliana nao kwa kipindi kirefu sana? Je, wapo Hai au Wamekufa....? Wazima au Wanaumwa...?
Siwezi kusema kuwa INAUMIZA SANA...
Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware
1. Umesahau password
2. Simu yako imevunjika kioo
3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako
4. Matatizo ya network
5. Ulizi wa simu yako
6. Kuongeza storage iphone au android phone
Wakuu habari zenu.
Ndugu zangu nahitaji kufahamu kama laini za Airtel hazikubali kwenye simu ndigo ya kgtel maana nikiweka kwenye simu nyingine inakubali vizuri lakini nikiweka kwe simu tajwa inasema SIM access error
Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.
Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee...
Shalom,
Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee.
Style wanayotumia ni hii
Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako
Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha...
Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo.
Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms.
Chief-Mkwawa
Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe
Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
Hiki kifaa kimenifanya kuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu ya kila siku. Kwa ufupi kimeweza teka hisia zangu kuliko hata mwanamke. Kimechukua muda wangu mwingi kwenye maisha yangu ya kila siku.
Simu imekuwa ikiniamsha niwahi kazini. Simu imekuwa ikinipa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii...
Aisee nyie walimwengu mna siri!
Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua!
Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia
imenishangaza...
Simu yako imeingia maji?, spika yako inatoa sauti ambayo huipendi? sawa pole kwa changamoto hiyo karibu hapa kwa suluhisho.
Usipeleke simu kwa fundi kwanza, wala usiweke kwenye mchele.
Kama umekutana na changamoto tajwa hapo juu au za namna hiyo, kwa muda huu ambao unasoma hapa, basi fanya...
Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini.
Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss...
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Rashid Simai Msaraka amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari ya Forodhani kwa lengo la kufanya msako wa Wanafunzi wanaotumia shisha zinazotumia umeme pamoja na simu.
DC huyo amefika Shuleni na kuamuru Wanafunzi wote washushwe parade na...
Watoto wanahangaika kuomba vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTEVET. Hawapokei simu na kuna mambo muhimu yanayohitaji ufafanuzi. Unapiga simu zote hazipokelewi nchi nzima.
Rutayugwa unafanya nini hapo ofisini? Uzembe of the highest degree exemplified by this!
WANANDOA NI LAZIMA WA-SHARE PASSWORD ZA AKAUNTI ZA BENKI NA SIMU
Anaandika, Robert Heriel
MTIBELI.
Dunia ya kitapeli huzalisha ndoa za kitapeli, Wanandoa matapeli, Watoto na kizazi cha kitapeli.
Kama mnafichiana namba za Siri za BENKI na akaunti na bado mnadanganyana ni MKE na Mume basi ninyi...
Heshima sana wanajamvi.
Rostam Aziz majuzi alitufungua kwamba Mahakimu,Majaji wetu unaweza kuwapigia simu wakatoa uhamuzi usio wa haki.
Ni kweli Rostam aliomba msamahaa lakini pamoja na kuomba msamaha hakuondoi hali halisi kwamba mahakama zetu zimekuwa zikitoa uamuzi wa hovyo hovyo.
Wakati...
Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia.
Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi.
1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama)
2.Udukuzi wa...
Salam, mambo ni mengi kwa sasa tuendelee tu
Hii mitandao ya mawasiliano sàsa naona kama iko taabani. Inaonekana inapumulia mashine ya gesi ila yanajikaza kisabuni.
Yaani sms za kuhesabu sàsa hivi tofauti na zamani.
Huwa nikijiunga kifurushi huwa siangalii sms ziko ngapi, huwa najua zipo tu...
Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati.
Nakunako Zanzibar ndugu zetu simu hawapokei, sijui ni njia gani nyengine ya kuwapata hawa mabwana.
Sitaki kuzungumzia email
Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.