simu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Komandoo wa shida: Kuwa Mshauri na kuomba msaada unapokwama

    Watu wengi huamini kwamba mtu anayebeba matatizo ya wengine yeye hana ya kwake. Hali hii humfanya mhusika akipata tatizo ashindwe kusema. Fikiria mtu aliyekushauri uache bangi, siku akikuambia ameangukia kwenye kuvuta utamwelewa? Tunapenda kusema mtu akiwa na depression aseme. Lakini akisema...
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Fundi simu leo nusu nichezee kipigo kutoka kwa mteja

    Leo nikiwa zangu ofisini kwangu jua la mchana hivi nikiwa napiga tu miayo kwa njaa ya pesa, Akaja mdada mmoja akiwa na simu ya batani imevujia kioo, sasa kwa bahati mbaya nikawa sina kioo cha aina hiyo, kwa haraka haraka nikapiga hesabu kuna simu moja ya mteja nilimtengenezeaga spika akawa...
  3. The Icebreaker

    JamiiForums Tanzania Simu ilikua kwa fundi

    Wakuu hope mpo poa, Hii ni thd ya kujifurahisha tu "Jokes" Tunge sentensi kwa kutumia neno Simu ilikua kwa fundi, Naanza na hii, Hongereni sana mashabiki wa Argentina kwa kutwaa kombe la Dunia,sikuwezi kutoa hongera zangu kwenu mapema coz simu ilikua kwa fundi, Twende kazi......
  4. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu na benki

    Ivi why can't we call customer care directly kupata msaada bila bonyeza iki Mara iki Mara iki Yaani mlolongo hadi unajuta plus dakika zako zinaenda tu. Wekeni number special kila moja ukibonyeza ya kitu fulani. Mnatuchosha na kuboa na minyimbo yenu cjui matangazo Hapana too much sasa
  5. ChizzoDrama

    JamiiForums Tanzania Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

    Habari wadau wa JF! Naomba kuuliza kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya hili. Hivi tukifuta PICHA kwenye Simu huwa zinakwenda wapi? Kuna PRIVACY kweli kwenye vifaa hivi? Msaada kwa anajua
  6. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Wawili wakamatwa mkoani manyara wakiwa na pesa za kitanzania na simu 27

    Jeshi la polisi mkoani manyara linawashikilia watu wawili, mohamed said na diana lozi wakazi wa dsm kwa tuhuma za kukutwa na fedha taslimu za kitanzania wakihiswa ni za wizi na simu za mkononi 27 , katika nyumba ya kulala wageni mjini babati. Mwenye taarifa kamili tunaomba msaada.
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

    Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi! Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?! Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM...
  8. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa namba za WhatsApp za Huduma kwa Wateja Mitandao ya Simu

    Airtel Customer Care WhatsApp Number Vodacom Customer Care WhatsApp Number Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100 Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
  9. 5

    JamiiForums Tanzania Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

    😁
  10. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania NEMC watoe mawasiliano ya kiofisi public wapewe taarifa nyingi kuhusu sehemu zenye uchafuzI wa mazingira uliokithiri

    Kazi nzuri ambayo inafanywa na Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) inatakiwa kuwa na mwendelezo. Uwepo wao umekuwepo kwa muda lakini yawezekana hawajasikika muda mrefu kwa kuwa hawakuwa wameamua kuonesha majkumu yao hasa katika kulinda mazingira ni yapi. Hivi karibuni jina la...
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Amesema anaenda kusalimia ndugu, baada ya kufika hapokei simu

    Njia nzima tunawasiliana, najua anaenda kwa ndugu, meseji yake ya mwisho ni kua amefika, baada ya hapo hapokei simu. ni nini kitakua kinaendelea ndugu zangu? Nimejiridhisha na hata aliempokea ni mtu ambae nilikua namtilia mashaka, inaonekana amepiga ndege wawili kwa jiwe moja. Uamuzi mwingine...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu simu yao haipokelewi. Mwenye namba ya CEO wao tafadhari anisaidie

    Hii Bodi ni bora ivunjwe isukwe upya. Wakati wa marejesho ya mkopo walizidisha miezi kadhaa kunikata. Nilipofika ofisini kwao wakasema niingingie online kudai kiasi hicho kilichozidi. Wangerejesha baada ya miezi 3 ( siku 90) tangia 3 Sept 2022 nilipo jaza hizo taarifa. Baada ya muda huo...
  14. Tango73

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu cha simu ya kifo

    Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura. Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya. Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872. Asante.
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi 1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi 2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
  16. H

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi kuna simu janja ya kufuta msg juu kwa juu??!

    Salama humu. Kwenye hizi simu janja msg inapoingia inaonekana juu kwenye bar.Ukislide chini inaonekana kidogo siyo yote then kuna option pale ya 'mark as read' Swali lifuatalo ni je hakuna simu janja yenye option ya delete. Unajua huwezi kuzuia hii mitandao ya simu kutuma msg zao maana nao...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Apple yaongoza kwa mauzo ya Simu duniani, Samsung yaongoza Afrika

    Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolea na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha kampuni ya Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishi nafasi ya pili kwenye soko la Dunia nzima. Kampuni ya #Apple ikiwa na Simu za iPhone iko nafasi ya 2...
  18. CotterPin

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

    Amani kwenu wana jukwaa Direct kwenye mada… Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako? Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge...
  19. olimpio

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa na Morogoro kinara kwa utapeli kwa njia ya simu

    Katika mambo yanayofikirisha sana , kwa mara zaidi ya tatu mfululizo mikoa ya Rukwa na Morogoro imeongoza kwa utapeli kwa njia ya simu. Swali la kuijiuliza ni: 1. Mikoa hii inakaliwa na wajanja wengi sana yaani matapeli? 2. wakazi wengi wa mikoa hii ni washamba sana kiasi cha kutapeliwa...
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania NIDA wahuishe taarifa za usajili wa namba za simu ziendane na zilizoko mitandao ya simu

    Nimefuta usajili wa namba ya simu tangu mwaka 2020, lakini hadi leo ukiangalia usajili wa namba zote zilizosajiliwa kwa namba ya NIDA, unaletewa na namba ambazo ulishazifuta, mbaya zaidi namba uliofuta unakuta imeshasajuliwa tena na mtu mwengine. Ushauri ni kua, NIDA wawe na utaratibu wa ou...
Back
Top Bottom