Msaada wenu tafadhali.
Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta.
Majina haya...
Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi.
Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine?
Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
Ninaona imeshawahi kujadiliwa mara kadhaa hapa. Hili jambo la taasisi zote kutoona umuhimu wa mawasiliano ya simu kiukweli linakera sana. Zama hizi siyo zama za kufunga safari kwenda ofisi fulani kuulizia vitu basic kabisa..
Changamoto:
1. Taasisi nyingi hazina mawasiliano ya simu kwa website...
Hawa scamers sasa wamezidi.
Asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB na sina akaunt huko. Hii scam imekaaje wadau!?
Hawa watu kweli ni piracy programmers.👇
Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo mpaka likukute ndo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria sio kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa Mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo hilo.
Kanuni ya 37 ya GN. No.60/2023 Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa...
Habari Ndugu Zangu
Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo.
1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai
2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji)
3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe.
Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia...
Mie nimekuwa mtumiaji wa tiGo na Airtel. Ilikuwa wakizingua Airtel nahamia tiGO and viceversa.
Hivi sasa Hali imenifika shingoni sina pa kukimbilia. Manake Wote ni majambazi. Unaweka Bando la wiki. unalazimika kushusha mtandao kwenye Simu isome 3G badala ya 4G.
Lakini haujamaliza Dk 5...
Habari zenu wakuu? Hope mko salama!
Ningependa kufahamu connection ya vifaa na material za stationery kwa bei rahisi ya Jumls kama vile notebooks, counterbooks, pen, na vifaa vingine vingine.
Pia phone accessories kama earphones za bei rahisi, viswaswadu, screen protectors, phone covers...
Hii inatokana na umuhimu wa mtu huyo au watu hao kwako..
Mwenzenu toka mwaka 2004 nikiwa bado primary school, enzi hizo tunatumia simu za kukoroga (za Ttcl), kama hii pichani
Mwenzenu hapa ndio niliweza kuiona namba ya simu ya Kaka yangu ambapo baba mdogo alikuwa akimpigia mara kwa mara...
Mo mp5 once again, Hope wazima familia ya JF.
Binafsi simu yangu napenda kuweka vibration,sababu sipendi kelele na ni mvivu Sana kupokeaga simu.
Kuna Ringtone zingine ziko vizuri Kama za iPhone,nokia,samsung.ila Kama unatumia Tecno,infinix,itel, vivo nk ringtone zao zinakuwa ni mbaya Yani Kama...
Ndugu zangu hivi ni mimi tu au ni kwa wote? Nikipiga Huduma Kwa wateja kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani.
Nimeshangaa sana kwa mitandao yangu yote ninayotumia ya Voda na Airtel.
Hili suala...
Jipatie simu Samsung note 9 kwa bei ya kutupa laki 350,000
Storage GB 128
Ram gb 6
Haina cracks.
Used but in good conditions
Free charger
Free cover
Free protector
Habari
Hii ni pesa yangu ya mara ya kwanza kuimiliki nikiwa under 18 sikuipata kwa mkupuo hapana nilidunduliza kidogo kidogo kutokana na kibarua nilicho tafutiwa na mzee wangu
Huyo tapeli tulikua tunawajibika wote katika kibarua hicho pia alikua na urafiki na mzee wangu wakikutana wanapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.