Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

HOPEfull

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,736
2,085
Habari.

Nina mwezi wa tatu sàsa natumia tecno yaani hadi nakoma.Yaani ni stress tupu nashindwa kuizoea mara inepeleke kule mara huko nikirudi huku inanitoa nje mara iminimize yenyewe nikibonyeza huku inarudi juu..mara casa ikwame inanitizama tu kama bundi sàsa sijui tatizo ni mimi au simu yaani ni shida.

Pamoja na ungugi wangu wote wa kutumia simu hapa kwa tecno naona nimekwama yaani naona maluweluwe tupu.

Sàsa hapo ni kwenye simu tu huko kwingine kwenye mitandao nikisema nitatandae kidogo ndo kabisa inanivurumisha naona giza tupu. Sijui nianzie wapi niishie wapi nimebaki kufungua J. forum tu. Jamani kama kuna simu tecno ambayo mtu ukitumia unajisikia raha hebu nijuzeni hapa angalau nilale kidogo .maana kichwa kinauma.

Kuna mtu anaongeaga humu kuhusu hizi simu sàsa naanza kumuelewa maana nilkuwa nadharau.
Nimeandika kwa fujo maana nachoka.
 
kaka tecno,itel na infinix hamna simu hapo usije tena ukaingia mkenge kununua..🥲
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom