Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali?

Kama ni mtumiaji wa android na simu yako ina memory card au una computer tafuta application inaitwa super backup utaweza kuhamisha kila kitu kwenye simu ya zamani weka backup kwenye memory card au computer yako.

Kisha install application ya super backup kwenye simu mpya itakuomba ku restore utachagua kutoka kwenye memory card ya simu ya zamani kila kitu kitakua kama awali unless kama toleo la android kwa simu ya zamani ni outdated sana hapo utapata changamoto kidogo.

Point ya msingi ukisha install application ya super backup kwenye simu mpya lazima uzime na kuwasha iweze kusoma backups zako za kwenye memory card.
 
Kama ni mtumiaji wa android na simu yako ina memory card au una computer tafuta application inaitwa super backup utaweza kuhamisha kila kitu kwenye...
Sasa simu za memory card ni adimu siku hizi. Mimi nimestack na simu natamani kibadili toka mwez wa kwanza ila machelea kupoteza account yangu ya paypal, safaricom kwa sababu nmepoteza line ya safaricom toka mwaka jana hivyo miamala mpaka sasa naifanya via application tu chip sina na siwez irenew kwasababu haikuwa na jina lamgu
 
tumia option ya pc as long as ni android ila kwa iphone wajuzi watakuja
 
Wasi wasi wako haswa ni nini mkuu

Fafanua in details Chief-Mkwawa atakuja kusaidia
Mimi nataka nihamishe apps ya paypal na safaricom isiniombe kusign in kwenye simu mpya maana itanituma codes kwenye safaricom na line sina na app ya safaricom itahitaji pia niweke line kwenye simu ili kusign in tena na hyo lone sina nmekuwa nikitumia via app toka mwaka jana mwez 8 nlipopoteza line
 
Ni lazima utumie hiyo account? Huwezi kutengeneza nyingine?

Kama ni ishu za kupokea, funga safari nenda boarder ya Kenya iliyo karibu nawe. Namanga, Holili au kule Sirari. Sajili line ya SafariCom na kisha fungua akaunti mpya baada ya kuhamisha fedha zote zilizopo.

Paypal hawajakufanyia Verification? Maana huwa wana nongwa sana katika uhakiki.
 
Kusajili line ya safaricom inatakiwa uwe na kitambulisho kipi cha tz?
 
Ni lazima utumie hiyo account? Huwezi kutengeneza nyingine?

Kama ni ishu za kupokea, funga safari nenda boarder ya Kenya iliyo karibu nawe. Namanga, Holili au kule Sirari. Sajili line ya SafariCom na kisha fungua akaunti mpya baada ya kuhamisha fedha zote zilizopo.

Paypal hawajakufanyia Verification? Maana huwa wana nongwa sana katika uhakiki.
Akaunti yangu iko verified na nmeiunga mahali mbalimbali. Natafta jinsi ya kuepuka hilo la kufunga safari. Nnaitumia since 2021
 
Huna namna. Itakupasa uitumie tu kwa sasa.

Lazima utakuwa unafahamiana na mwenye namba husika. Kwa nini usiwasiliane nayo afanye mpango wa kuihuisha namba husika? Muombe akarenew.
 
Nmepoteza line nlinunua line nikaitumia ifungulia hiyo akaunti halafu kwa sababu line mara nyingi sikuwa naitumia hivyo nikaweka app ya safaricom so nikawa naweza tumia safaricom mpeaa bila line kuwa hewan. Sa line ikapotea toka mwaka jana mwez wa nane hadi sasa naendeleza transaction ila nataka kubadili simu nachelea hilo
 
Akaunti yangu iko verified na nmeiunga mahali mbalimbali. Natafta jinsi ya kuepuka hilo la kufunga safari. Nnaitumia since 2021
Ukiepuka safar ya kwenda kurenew line or kusajili line mpya kuna siku utalia either kwa kupoteza sim au hyo android version kuwa outdated.
Chagua kwenda kusajili line yako kwa jina lako mwenyewe .
 
Kurenew line siwez maana nilinunua tu kwa wanaouza kine hata hiyo akaunti ya payapal haiko kwa jina langu iko katika jina lililosajiliwa kwa line
 
Nmepoteza line nlinunua line nikaitumia ifungulia hiyo akaunti halafu kwa sababu line mara nyingi sikuwa naitumia hivyo nikaweka app ya safaricom so nikawa naweza tumia safaricom mpeaa bila line kuwa hewan. Sa line ikapotea toka mwaka jana mwez wa nane hadi sasa naendeleza transaction ila nataka kubadili simu nachelea hilo
PayPal unapobadili device lazima ufanye ku log in.
Kuwa salama fanya nilivyokuelekeza komenti ya juu
 
Yes mkuu hilo nalijua ndio maana nikawa nauliza kama hiyo njia yake ya super app inaweza kuwork. Halafu hapa shida zaidi sio paypal shida ni safaricom maana kama paypal naweza nunua line nyingine ya safaricom nikabadili namba ya 2F na kuweka namba mpya ya safaricom ikiwa ina maana sitoweza tena kuwithdraw kwa njia ya safaricom bali bank tu. Hilo si shida ila shida yangu kubwa na app ya safaricom ikiendelea soma bila kutaka login. But anyway it seems ni impossible ntafanya kununua tu line nyingine
 
Mimi nataka nihamishe apps ya paypal na safaricom isiniombe kusign in kwenye simu mpya maana itanituma codes kwenye safaricom na line sina na app ya safaricom itahitaji pia niweke line kwenye simu ili kusign in tena na hyo lone sina nmekuwa nikitumia via app toka mwaka jana mwez 8 nlipopoteza line

Hapo utakwama mkuu
Ni lazima itakulazimu ku sign in na code ya verification itatumwa Safaricom

Kama kuna njia mpya za kusajili pay pal kwa njia rafiki kibongo ni bora ufungue acc mpya tu
Maana huko mbeleni lazima utakwama tu kama hutapata line yako

For now tafuta tu simu mpya halafu hii ya zamani ibaki kwa matumizi ya pay pal tu
 
Back
Top Bottom