Fanya hivi ili simu yako ikiibwa au kupotea uipate kirahisi

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,166
Kama kawaida mlinzi msomi nisiye na hiyana.

Nilipanda bajaji mwaka 2021 nikasikia jambo, nami nikadadisi kidogo. Nikafanya kama nilivyoambiwa.

Ukiwa na smart phone mbili , yako na ya mwenzi wako au yako na ya rafiki yako nenda kwenye Goole map then share location na simu nyingine. Hapa unaweza ku share via WhatsApp au messenger au njia yoyote ile ila email ni best zaidi.

Ukiibiwa simu au kupoteza utaweza kutumia simu moja kufuatilia alive location ya simu nyingine mpaka utaikamata.

Hata mwizi akiiflash bado haisaidii kwake. Akiwasha tu data unaye.

Nilikuwa na smart mbili, nikafanya hivyo, baada ya miezi kadhaa nilipata ajali nikapoteza Smart phone moja.
Niliipata baadaye kwa njia hiyo.

Wewe ukipoteza kachukue RB police halafu baadaye wapelekee mwizi tu. Usiliwe tena pesa na polisi wahuni, mtu kazi yake ni kuwasaidia watu lakini anageuka kuwachuna watu ilhali serikali ndio humlipa na kumpa vitendea kazi.

Namna ya kushare:

1. Nenda google map kwa simu za android.

2. Usihangahike, unaweza kutumia picha zilizorushwa na watu wengine huko Goole au uliyopiga wewe mwenyewe na kushare google.

3. Nenda sehemu ya options kisha share kwa mtu mwigine au kwenye simu yako mwenyewe (, simu nyingine)

Screenshot_20230616-073147.jpg
Screenshot_20230616-073147_1.jpg
Screenshot_20230616-073201.jpg
 
Mkuu hebu nielezee nielewe, siyo kila mwizi ni mtaalamu juzi nimepoteza simu na sijaipata hadi leo
Google map ipi? Maana zipo nyingi
Nasheaje location? Mm nataka hii elimu
 
Kama kawaida mlinzi msomi nisiye na hiyana.
Nilipanda bajaji mwaka 2021 nikasikia jambo, nami nikadadisi kidogo. Nikafanya kama nilivyoambiwa.
Ukiwa na smart phone mbili , yako na ya mwenzi wako au yako na ya rafiki yako nenda kwenye Goole map then share location na simu nyingine. Hapa unaweza ku share via WhatsApp au messenger au njia yoyote ile ila email ni best zaidi.
Ukiibiwa simu au kupoteza utaweza kutumia simu moja kufuatilia alive location ya simu nyingine mpaka utaikamata.
Hata mwizi akiiflash bado haisaidii kwake. Akiwasha tu data unaye.
Nilikuwa na smart mbili, nikafanya hivyo, baada ya miezi kadhaa nilipata ajali nikapoteza Smart phone moja.
Niliipata baadaye kwa njia hiyo.
Wewe ukipoteza kachukue RB police halafu baadaye wapelekee mwizi tu. Usiliwe tena pesa na polisi wahuni, mtu kazi yake ni kuwasaidia watu lakini anageuka kuwachuna watu ilhali serikali ndio humlipa na kumpa vitendea kazi.
Wewe kuwa makini tuu ili wasiibe hivyo utaendelea kuwa nayo ! Kinga ni bora kuliko tiba! Pimbi wewe
 
Kama kawaida mlinzi msomi nisiye na hiyana.
Nilipanda bajaji mwaka 2021 nikasikia jambo, nami nikadadisi kidogo. Nikafanya kama nilivyoambiwa.
Ukiwa na smart phone mbili , yako na ya mwenzi wako au yako na ya rafiki yako nenda kwenye Goole map then share location na simu nyingine. Hapa unaweza ku share via WhatsApp au messenger au njia yoyote ile ila email ni best zaidi.
Ukiibiwa simu au kupoteza utaweza kutumia simu moja kufuatilia alive location ya simu nyingine mpaka utaikamata.
Hata mwizi akiiflash bado haisaidii kwake. Akiwasha tu data unaye.
Nilikuwa na smart mbili, nikafanya hivyo, baada ya miezi kadhaa nilipata ajali nikapoteza Smart phone moja.
Niliipata baadaye kwa njia hiyo.
Wewe ukipoteza kachukue RB police halafu baadaye wapelekee mwizi tu. Usiliwe tena pesa na polisi wahuni, mtu kazi yake ni kuwasaidia watu lakini anageuka kuwachuna watu ilhali serikali ndio humlipa na kumpa vitendea kazi.
Barikiwa
 
Labda ulidondosha msamaria mwema akaokota hakuzima data wala gps. Kwa uelewa wangu hizi android hazina ulinzi ukifanya resert factory ndio basi maana inafuta mpaka hiyo gmail na kila kitu, njia pekee ni IMEI number lakini hata hii pia wahuni wanaweza kuibadili.
Wezi wengi siku hizi simu inachinjwa kwa ajili spare parts.
 
Sio ku reseti tu hata ukiiroot na kubadili IMEI huwezi kupoteza kumbukumbu za google map.
Jaribu kufanya hivyo kwa simu mbili.
Elimu niwape na ubishi mnataka
 
Back
Top Bottom