simu

  1. Lech Poznan

    JamiiForums Tanzania MSAADA NIMEFUTA NAMBA YA SIMU LAKINI WHATSAPP IMEGOMA KUFUTIKA

    Kuna namba ya simu ipo kwenye Contact yangu nimeifutq kwenye Contact imefutika siioni lakini chakushangaza kwenye WhatsApp yangu bado hipo na status zake bado naziona. Nimejaribu kuifuta imegoma naombeni msaada shida itakua wapi.
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haitaki kuwekeza kwenye elimu hasa ya mafundi simu?

    Hebu fikiria hizi picha hapo chini nimejifunza mwenyewe jinsi ya kutoa na kurudishia emmc hadi prosesa. Je ningeweza kusoma na kufundishwa si ningekuwa mbali zaidi. Wao kazi yao ni kuja tu kudai leseni kaa mafundi simu ila kutusaidia tuwe na ujuzi zaidi hawataki. Mfate fundi simu yoyote...
  3. Ngareroo

    JamiiForums Tanzania Shida Ni Earphones Au Ni Simu?

    Habari wakuu,,hopefully mko poa..Mimi aysee naomba mnisaidie kitu kimoja wataalamu wa Tech..Nimekuwa Nikinunua Earphones lakini baada ya muda kidogo tu zinaanza kupoteza ufanisi wake..Mfano ukijitikisa tu unashangaa muziki unaji'pause au unajipunguza sauti au kujiongeza..Then haiishii hapo...
  4. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Simu, Siri na Heshima ya Ndoa

    Katika maisha ya sasa ya teknolojia, simu imekuwa sehemu kubwa ya maisha binafsi ya watu. Ndani yake kuna mawasiliano, kumbukumbu, siri na hata heshima ya familia. Wakati mwingine mtu anaweza kujikuta ameona jambo ambalo hakutarajia kabisa — jambo linaloweza kumuacha na maumivu ya moyo...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ina maana mpaka zile pingu ni za kisasa zikaenda kufunguliwa polisi.Na kwa nini walipigiwa simu na polisi

    Polisi wanataka kujichunguza wakati ndio wenye nyenzo. Mi navyo mjua kamanda muriro na wengine Ma RPC wanavyopenda sifa za kuita vyombo vya habari kutoa ripoti za matukio mbona kama wapo kimya. Kwa jinsi jeshi la polisi linavyojipeleka mda sio mchache sijui kama 2030 inafika kuna watu naona...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ulega: Nimepokea simu kutoka kwa Bibi wa Miaka 70, anapongeza Serikali kwa kukamilisha Daraja la JP Magufuli

    Bibi Hellen Bugoye (70) kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (zamani Kigongo-Busisi) linalounganisha Kigongo na Busisi. Shuhuda za...
  7. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Muda mwingine weka Simu pembeni ufanye mambo mengine

    Sawa najua yako sikupangii matumizi, ila be present at the moment angalau itaonyesha utimamu wako. Na ikikubidi omba udhuru kisha utarejea au kama hulitaki tukio usiende/usije/usishiriki. Inashangaza mtu anakuita Kwa maongezi lakini yuko busy mno na simu yake, focus yake imehama iko kwingine...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Simu Yako Inakutawala? Hizi Hapa Dalili 7

    Dalili 7 Zinazoonyesha Simu Yako Inakutawala (Sio Wewe Kui-control) Unafikiri unaitawala simu yako. Hapana. Ndiyo inayokuamsha asubuhi, kuamua unafikiria nini, na kutumia kila sekunde yako ya bure. Hizi ni dalili 7 zinazoonyesha umekabidhi maisha yako kwa screen na ukaita “connection,”...
  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba huko TikTok amebomoa bei za vioo vya simu, wafanyabiashara wamemkasirikia, wateja wanamfurahia, kosa lake ni lipi?

    Kuna mwamba huko Tiktok anatoa vioo vya simu kwa bei chee, Simu kama samsung A05 ni 16k tu , Ila kuna ukicheki comments wafanyabiashara wamekasirika, anawaharibia biashara, sasa kosa lake lipi.
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simu ya mpenzi wako kuwa Bize usiku mnaitafsiri vipi wakuu?

    Hodi wana jamvi, Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Alie karibu na popoma ampokonye simu

    Sio kila muda unapswa ku-post vitu, hata akijsikia kuoga ana post. Either jamaa yuko disturbed au stressed. Dude has been posting shxxt vigorously
  14. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Pata charger simu yako na abiria wako walio seat ya nyuma kwa bei poa

    🔥 CAR USB CHARGER (FAST CHARGING 48W) 🔥 Chaji simu zako kwa haraka na urahisi! Ina ports 6 (Type-C + USB) – unaweza kuchaji abiria wa mbele na wa nyuma kwa wakati mmoja 🚗⚡ Waya mrefu (1.5M) unawafikia hadi waliokaa nyuma Inafaa kwa simu zote na vifaa vingine 💰 OFa: 30,000/= tu 📍 Arusha Town 📞...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Samsung kuna feature 5 zinakuja kwenye simu yako hata hivyo

    Watumiaji wa Samsung kwenye toleo jipya la Samsung one UI version 8.5 wametoa update mpya ya feature mbalimbali nzuri sana. Feature mpya imekuja kuongeza ubora kwenye muonekano wa apps, mipangilio ya simu, ufanisi, stability pamoja na security kwa ujumla. kama unatumia Simu ya Samsung Kuna...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finance Bill 2026: Serikali Yalenga Mitumba, Simu na Magari — Je, Mwananchi wa Kawaida Ataumia Zaidi?

    Finance Bill 2026 imeleta mjadala mkali sana miongoni mwa Wakenya, especially kwa sababu inagusa vitu za everyday life kama mitumba, simu na hata juice. Serikali inasema hii ni njia ya kuongeza revenue, lakini wananchi wengi wanaona mzigo unaongezeka. Kwa mfano, wafanyabiashara wa mitumba sasa...
  17. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Mitandao ya simu

    Habari wana jf, kuna tatizo kubwa hasa kwa mitandao ya simu usipo tumia line yako ya simu kwa muda flan anapewa mtu mwingne Kwa sababu namba yako ya simu si namba tu tena. Imeunganishwa na akaunti yako ya benki. Barua pepe yako. Akaunti zako za kazi. Maisha yako binafsi. Mara tu namba hiyo...
  18. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kemeeni tabia za wafuasi wenu za kutukana viongozi wetu kupitia namba za simu

    Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja. Hii tabia za kuwatukana viongozi wetu IKOME! Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwapate wachacche kama sample tu ili...
  19. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

    Kama unadhani simu aina ya Samsung ni simu ya kawaida subiri kioo kipasuke ndo utanielewa namaanisha nini. Kioo kikipasuka na ukataka kuweka kingine, bei inaweza kuwa nusu ya au zaidi pesa uliyonunulia simu, Kwa hiyo kama unamiliki simu aina ya samsung jipige kifuani sema mimi ni shujaa, Wale...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

    Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
Back
Top Bottom