Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,623
Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥
Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥.
Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki historia kwa mazungumzo ya kawaida. 🤯
🧠 Lakini kuna jambo muhimu! 👀 Kuwa “Unlimited” hii haimaanishi kila kitu kitakuwa bila kikomo. Images, file uploads na baadhi ya tools bado zinaweza kuwa na limits.
ChatGPT inaingia level nyingine kabisa! 🚀🤖
Je, wewe ungependa ChatGPT iwe 100% unlimited kwa kila kitu? 👇😱